Na Mwandishi Wetu, ZanzibarMRADI wa Heshimu Bahari umelenga kuimarisha mazingira ya bahari na viumbe vyake katika maeneo ya hifadhi, ili kukuza hifadhi ya bahari...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kulingana na machapisho mbalimbali, Bundi ni miongoni mwa ndege ambae huishi kutegemea nyama kama chakula chake kikuu.
Bundi hutafuta mawindo yake nyakati...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza serikali kwa kujenga mazingira bora ya uwekezaji nchini ikiwemo kuhakikisha kwamba kunakuwa...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali iko katika mbioni kuunganisha Shoroba mbili za Derema na Amani Nilo zinazopatikana ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia...
Na Faraja Masinde, Muheza
“Hata sisi walimu tumejifunza kwamba tunapofundisha hatutakiwi kutumia dakika zote 45 darasani hapana, kuna muda wa kuwatoa wanafunzi nje ya darasa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Siah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja dhana iliyojengeka na kuwagawa wanawake na wanaume kwenye uwanja wa taaluma...
*Serikali yasisitiza wananchi kuwa na subira
Na Faraja Masinde, Muheza
“…tuliumia sana, tukawaachia tu wakaruka na kwenda zao. Tukasema hatuna cha kufanya… na wakati huo ndiyo...
*Ni onesho linalolenga kufufua, kurejesha na kupeleka sanaa ya majukwaa ya Tanzania kimataifa
*Litafanyika Agosti 12 na 13, 2023 katika Makumbusho ya Taifa jijini Dar...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KAMPUNI ya AngloGold Ashanti - Geita Gold Mining Limited (GGML), imeahidi kushirikiana na Serikali ya Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya...
*Wakulima waita wenzao kujisajili
Na Mwandishi Wetu, Mbeya
WAKULIMA wa mikoa ya Nyanda za Juu wametoa wito kwa wakulima wenzao wa mazao mbalimbali kujisajili na mfumo...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Wataalamu wa lishe wameshauri akina mama wanaonyonyesha kuacha kutumia chupa zinazouzwa maduka ya dawa kunyonyeshea watoto kwani hatua hiyo inachochea watoto...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesema ipo tayari kushirikiana kikamilifu na Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kwa kutumia umeme...