Kwa miaka ya karibuni imekuwa ni kawaida kukutana na wanafunzi hususan wa elimu msingi wakiwa na mabegi makubwa mgongoni wakati wa kwenda na kurejea...
KATIKA kuadhimisha Siku ya Kunawa Mikono Duniani, shirika lisilo la kiserikali la WaterAid Tanzania, limekabidhi vituo 12 vya kunawia mikono kwenye maeneo tofauti jijini...
Ripoti mpya ya Shirika la Afya Dunaini(WHO) na Shirika la Kuhudumia Watoto Ulimwenguni (UNICEF), iliyotolewa kwenye Siku ya Kunawa mikono Duniani, inaonyesha kwamba...
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto hadi kiufikia Jumamosi Agosti 28, 2021 jumla ya walengwa 304,603 wamepatiwa...
TUNAWEZA kukubaliana kuwa matukio ya wapendwa wetu kujiua yamekuwa yakiacha simanzi kubwa kwenye jamii, labda kuliko hata vifo vingine vya ghafla.
Ni changamoto ya maisha,...
TATIZO la Ugonjwa wa Saratani ya Macho (Retinoblastoma) kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano limeanza kushamiri mkoani Mbeya kutokana na idadi...