Na Mwandishi Wetu, Gazetini
ZAIDI ya madereva bodaboda 200 wa jiji la Arusha wamepatiwa mafunzo maalum ya usalama na afya kwa lengo la kuwajengea uwezo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Arusha
ZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na kati yao kubainika...
*Asisitiza umuhimu wa elimu ya usalama mahala pa kazi
*Aipongeza OSHA kuboresha utendaji, ahimiza uhifadhi wa mazingira
Na Mwandishi Wetu, Arusha
Naibu Waziri Mkuu na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania ni kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zinafanya vema katika kupambana na janga la UKIMWI ambapo Takwimu zinaonyesha kuwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa kudhibiti...
Na Mwandishi Wetu, Arusha
KATIKA kuelimisha wananchi na washiriki wa maonesho ya usalama na afya mahali pa kazi namna ya kuzingatia usalama wawapo katika shughuli...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Bodi ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), imefanya ziara ya kukagua huduma za Hospitali zinazotolewa na Chuo hicho kwa wanafunzi...
Chairman Lee Man-hee: 'My mission is to testify to the events of Revelation as I have heard and seen them.'"
Shincheonji Chairman Lee Man-hee
Delivers a...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mwandishi wa Habari, Tulinagwe Malopa, anayefanyakazi na Tovuti ya GAZETINI (www.gazetini.co.tz) jijini Dar es Salaam inayomilikiwa na Gazetini Communications ameng’ara katika...
Na Nora Damian, Gazetini
Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zimesababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini.
Vifo 28 zimeripotiwa kutokea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inachukua kila jitihada kuhakikisha wafanyakazi nchini wanalindwa dhidi ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa mafunzo maalumu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (Geita Boys)...