24.8 C
New York

Hizi hapa zilizovuka makundi Kombe la Dunia 2026

Published:

CALIFORNIA, Marekani

JUMLA ya timu 19 zimeshakata tiketi ya kucheza hatua ya 32 ya msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia.

Timu hizo zilizovuka makundi ni Australia, Ivory Coast, Ecuador, Japan, Uholanzi, Sweden, Bosnia na Colombia.

Australia, licha ya kulazimishwa suluhu (0-0) na Paraguay katika mchezo wa mwisho, imesonga mbele ikiwa nafasi ya pili kwenye Kundi D.

Ivory Coast nayo imeingia 32 Bora baada ya ushindi wake wa mabao 2-0 katika mechi ya mwisho dhidi ya Curacao 2-0.

Hivyo, timu hizo zinaungana na Mexico, Afrika Kusini, Canada, Uswis, Marekani na Brazil.

Timu zingine tano zilizojihakikishia tiketi ya kucheza hatua ya 32 Bora ni Morocco, Ujerumani, Ufaransa, Norway na Argentina.

Related articles

Recent articles