6.4 C
New York

Timaya: Sijaacha muziki, nimepumzika

Published:

LAGOS, Nigeria
STAA wa muziki wa Afrobeat, Timaya, ameweka wazi kuwa ukimya wake kwenye ‘gemu’ haumaanishi kuwa amestaafu.
Timaya alianza kuchomoza kwenye soko la muziki mwaka 2005 baada ya kuachia ‘Dem Mama’.
Akizungumzia ukimya wake, alisema amepumzika tu lakini si kwamba ameachana na muziki.
Kupitia ukurasa wake wa ‘X’, aliandika: “Usiseme nimestaafu, sema nimepumzika…”
Kwa miaka 20 aliyodumu kwenye muziki, Timaya ametoa albamu nane, pia akiwa na ‘EP’ moja, achilia mbali kufanya ‘kolabo’ na wasanii wakubwa, wakiwamo Sean Paul na Morgan Heritage.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img