BARCELONA, Hispania
FC Barcelona wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa La Liga baada ya kuichapa Real Madrid mabao 2-0 katika mchezo mkubwa wa El Clásico uliochezwa kwenye...
DAKAL, Senegal
BUNGE la Senegal limepitisha sheria mpya inayolenga kudhibiti tabia ya baadhi ya wabunge wanaosusia vikao vya Bunge bila sababu za msingi, hatua ambayo...
WASHINGTON, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema hakuwahi kutangaza kumalizika kwa operesheni za kijeshi dhidi ya Iran bali alieleza kuwa Marekani imefanikiwa kuishinda Iran...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KWA mujibu wa Serikali hadi Aprili 2026 jumla ya nyumba 2,512 zimeunganishwa na huduma ya gesi asilia katika mikoa ya Mtwara,...
BUJUMBURA, Burundi
MVUTANO wa kisiasa umeanza kuongezeka nchini Burundi baada ya vyama vikuu vya upinzani kutangaza kusitisha ushiriki wao katika uchaguzi wa rais wa mwaka...
JOHANNESBURG, Afrika Kusini
RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, anakabiliwa na presha mpya ya kisiasa baada ya Mahakama ya Katiba kuamua kuwa Bunge lilikosea kisheria...
GENEVA, Uswiz
Hofu imeendelea kuongezeka duniani kufuatia mlipuko wa virusi vya Hanta (Hantavirus) ulioripotiwa ndani ya meli ya kifahari ya kitalii ya MV Hondius, baada...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MWAKA mmoja baada ya kuchaguliwa kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, Mei 8, 202, ameendelea kuvuta hisia za...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua rasmi zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi wanaopisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa njia...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema hadi Aprili 2026, jumla ya nyumba 2,512 zimeunganishwa na miundombinu ya gesi asilia katika...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini
Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha kundi la watu wenye ulemavu, Nasria Nasri Ally, ameishauri Serikali kujenga shule jumuishi katika kila mkoa...