23.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Mapinduzi ya sekta ya reli nchini Tanzania

Na Hassan Mwasha, Gazetini MOJA ya hatua kubwa zilizopigwa na Shirika la Reli nchini (TRC) ni kuondokana na utegemezi kwa Serikali, ambapo katika Mwaka wa...

Mafanikio na maboresho sekta ya bandari nchini

Na Hassan Mwasha, Gazetini KASI kubwa ya maendeleo imeshuhudiwa katika bandari za mwambao wa Bahari ya Hindi na Maziwa Makuu, ikiwamo uboreshaji wa miundombinu unaochagiza...

Argentina kupindua historia Kombe la Dunia 2026?

LONDON, Uingereza TIMU ya Taifa ya Argentina itakwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu ikiwa bingwa mtetezi wa michuano hiyo baada ya...

Iran, Taiwan katikati ya kikao cha Trump, Xi Jinping?

BEIJING, China RAIS Donald Trump aliwasili mjini Beijing Mei 13, 2026 kwa mkutano wa siku mbili na mwenyeji wake, Xi Jinping. Ni ziara ya kwanza ya...

Israel kumpokea Kanye West?

LOS ANGELES, Marekani RAPA asiyeishiwa matukio, Kanye West, anaendelea na ziara yake ya muziki katika maeneo mbalimbali duniani na sasa amepanga kuibukia Israel. Kanye anaendeleza ziara...

Arsenal, Man City hakuna kulala ubingwa EPL

LONDON, Uingereza BAADA ya Manchester City kuinyuka Manchester City mabao 3-0, sasa presha imerudi kwa Arsenal iliyoko kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England...

Ramaphosa alivyowekwa kwenye kona kashfa ya ‘Farmgate’

PRETORIA, Afrika Kusini KWA sasa, Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini anakabiliwa na tishio la kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na rais. Amekuwa madarakani tangu...

Kwa England hii, Tuchel ‘ataua’ mtu Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu ziko njiani. Zitaanza Juni 11 na kufanyika kwa mwezi mmoja hadi Julai 19, 2026, huku...

Makubwa ya kufahamu kuelekea Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza NI takribani mwezi mmoja umebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu. Michuano hiyo itaanza Juni 11, 2026,...

Museveni amekana kivuli chake akiwa amesahau au makusudi?

Na Hassan Mwasha, Gazetini RAIS Yoweri Museveni ameapishwa kuanza awamu yake ya saba baada ya ushindi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Januari, 2026, akiandika historia ya...

Arsenal sasa washindwe wao tu ubingwa EPL

LONDON, Uingereza KABLA ya kuivaa West Ham katika mchezo uliopita, Arsenal ilitabiriwa ubingwa wa Ligi Kuu na aliyekuwa beki kisiki wa Liverpool, Jamie Carragher. "Endapo Arsenal...

Prisons ilivyoipa Simba bonge la rekodi

Na Hassan Mwasha, Gazetini KATIKA mchezo wa jana Mei 10, 2026, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Tanzania Prisons na kuweka rekodi...