MANCHESTER, Uingereza
BAADA ya kuifunga Chelsea bao 1-0, Manchester City si tu imetwaa ubingwa wa Kombe la FA, bali pia imeandika historia mpya kwenye michuano...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa muda wa Chelsea, Calum McFarlane, amesema hawana cha kuambulia msimu huu zaidi ya Kombe la FA, hivyo lazima wapambane kuifunga Manchester...
LONDON, Uingereza
LEJENDARI wa Ligi Kuu ya England (EPL), Rio Ferdinand, amesema kama si Michael Carrick, basi Luis Enrique wa PSG ndiye kocha sahihi wa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KOCHA mwenye 'CV' kubwa katika soka la Afrika, Florent Ibenge, ametimiza dakika dakika 20,70 tangu alipoanza kuisimamia Azam katika mechi za...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
SIMBA ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, haipaswi kupoteza hata mchezo mmoja, huku ikiiombea dua mbaya Yanga...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MSIMU wa Ligi Kuu Bara unaelekea ukingoni, huku Yanga na Azam zikiwa ndizo timu pekee ambazo hadi sasa hazijafungwa katika mechi...
ISTANBUL, Uturuki
MKONGWE wa Inter Milan, Obinna Nsofor, amemshauri Mnigeria mwenzake, Victor Osimhen, kuondoka Galatasaray, akisema ameshafanya makubwa Ligi Kuu ya Uturuki (Super Lig).
Osimhen ameshinda...
Na Hassan Mwasha,Gazetini
KWA mashabiki wa soka wa Tanzania, macho na masikio yao yameelekezwa katika vita mbili kubwa. Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na ile...
TEHRAN, Iran
JESHI la Iran (IRGC) limetangaza kuruhusu meli zaidi ya 30 zilizobeba mafuta kupita katika Mlango-Bahari wa Hormuz usiku wa Mei 14, 2026.
Iran imeimarisha...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KATIKA moja ya nukuu zake maarufu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kutaja maradhi kuwa ni moja ya maadui watatu wa Taifa...