Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Waziri Mkuu aagiza mkandarasi akamatwe

Na Mwandishi WetuWaziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, ameliagiza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi...

Mexico yatwaa taji la Miss Universe 2025, Ivory Coast namba tano

Na Mwandishi Wetu Mexico imeibuka mshindi wa taji la Miss Universe 2025 kupitia mrembo wake Fatima Bosch, mwenye umri wa miaka 24.Fatima, anafahamika kwa uthubutu wake...

Yanga yaanika silaha za kuingamiza FAR Rabat

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Concalves amesema falsafa yake katika mechi ya kesho Novemba 22,2025 dhidi ya AS FAR Rabat ni...

Mane afunguka alivyoikataa Man United

MANCHESTER, EnglandMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane, amesema alikataa ofa ya Manchester United kabla ya kutua Liverpool.Mane alijiunga na Liverpool mwaka 2016 kwa...

Odegaard fiti kuivaa Tottenham

LONDON, UingerezaKIUNGO wa Arsenal, Martin Odegaard, amepona majeraha yake na huenda akaikabili Tottenham katika mchezo wa Ligi Kuu ya England wa Jumapili ya wiki...

Meya ahukumiwa kifungo cha maisha

MANILA, UfilipinoMAHAKAMA Kuu nchini Ufilipino imemuhukumu kifungo cha maisha gerezani mwanasiasa maarufu na Meya wa zamani, Alice Guo.Guo aliyekuwa Meya wa Bamban, ameangukiwa na...

Zelenskyy: Tuko tayari kumaliza vita na Urusi

KYIV, UkraineRAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, amesema Serikali yake iko tayari kushirikiana na Marekani katika jitihada za kumaliza mgogoro na Urusi.Hivi karibuni, Ikulu ya...

Mahakama yamng’oa ofisini Mwanasheria Mkuu

MADRID, HispaniaMWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Hispania, Alvaro Garcia Ortiz, ametakiwa na Mahakama Kuu kukaa kando baada ya kukutwa na hatia katika mashitaka ya...

Usiyoyajua kuhusu ‘playoff’ inayoisubiri DRC

LONDON, UingerezaMACHI 31, mwakani, ndipo zitakapopatikana timu zote 48 zitakazoshiriki fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika katika mataifa matatu; Marekani, Canada na Mexico.Kufikia sasa,...

Wakali wa mabao kufuzu Kombe la Dunia

Na mwandishi wetu, GazetiniFAINALI za Kombe la Dunia zimekuwa na rekodi nyingi, ikiwamo ile maarufu ya wafungaji bora wa muda wote wa mechi za...

Soma hapa maajabu ya Haiti kufuzu Kombe la Dunia

Na mwandishi wetu, GazetiniTIMU ya taifa ya Haiti nayo imefanikiwa kufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwakani katika mazingira yaliyowashangaza wengi.Haiti, ambao hii...

Casemiro; Mashine iliyozaliwa upya United, Brazil

RIO, BrazilMIEZI 18 iliyopita, beki wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya England 'Three Lions', Jamie Carragher alikuwa mbele ya kamera za...