Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Robo fainali AFCON 2025; Mali, Senegal na ‘derby’ ya kibabe Morocco

RABAT, Morocco NI 'derby' ya majirani wa Afrika ya Magharibi, ukiwa ni mchezo wa robo fainali ya michuano ya AFCON 2025 inayoendelea nchini Morocco. Mali na...

Afrika imejifunza nini kilichomkuta Maduro?

Na mwandishi wetu, Gazetini MAREKANI kuishambulia Venezuela na kuondoka na Rais wake, Nicolas Maduro, ndiyo habari iliyogonga vichwa vya habari duniani kote kwa sasa. Vikosi vya...

Huyu ndiye Michael Kuka; shabiki aliyegeuka kivutio AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMA umefuatilia kwa karibu mechi zote za msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), basi sura yake si...

Mukwala atua kibabe Zanzibar, Simba ikiivaa Azam kesho Mapinduzi Cup

Na Winfrida Mtoi, Gazetini WAKATI Simba kitarajia kukabiliana na Azam FC kesho katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya kombe la Mapinduzi, mshambuliaji wa...

Ndoa za utotoni Tanzania; hali halisi, athari na njia za kutokomeza

Na mwandishi wetu, Gazetini NDOA za utotoni, zinazofafanuliwa kama ndoa inayohusisha mmoja au wote wawili walio chini ya umri wa miaka 18, bado ni tatizo...

Njama ya kumuua Kapteni Ibrahim Traoré yagonga mwamba

WAGADUGU, Burkina Faso SERIKALI ya Burkina Faso imetangaza kuzuiwa kwa njama ya kumuua kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo, Kapteni Ibrahim Traoré. Kwa mujibu wa Waziri...

Kwa nini Trump anakitaka Kisiwa cha Greenland?

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS Donald Trump ameweka wazi kuwa Marekani inakihitaji kwa namna yoyote ile kukiweka chini ya himaya yake Kisiwa cha Greenland. Kauli hiyo...

Bobi Wine; Nguvu ya ‘Gen Z’ itampeleka Ikulu?

Na mwandishi wetu, Gazetini KUTOKA maisha ya 'kuungaunga' katika makazi ya watu wa kipato cha chini mjini Kampala, na sasa ni mwanasiasa maarufu na anayempa...

Mambo 10 usiyoyajua kuhusu kocha mpya Chelsea

LONDON, Uingereza UONGOZI wa Chelsea umemtangaza kocha mpya atakayechukua nafasi ya Enzo Maresca. Anaitwa Liam Rosenior. Je, ni yapi usiyoyajua kuhusu kocha huyo mwenye umri wa...

Mbappe aachwa kikosini Madrid

MADRID, Hispania MSHAMBULIAJI Kylian Mbappe amebaki nyumbani wakati kikosi cha Real Madrid kiliposafiri kwenda Saudi Arabia kwa mchezo wao wa Spanish Super Cup. Madrid watakuwa nchini...

Wapinzani wagomea matokeo Uchaguzi Mkuu CAR

Na mwandishi wetu, Gazetini WAGOMBEA wa vyama vya upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) uliofanyika hivi karibuni wameyakataa matokeo yaliyotangazwa...

Rosenior atangazwa kocha mpya Chelsea

LONDON, Uingereza KLABU ya Chelsea imemtangaza, Liam Rosenior kuwa kocha mpya atakayechukua mikoba ya Enzo Maresca. Rosenior amejiunga na Chelsea akitokea Strasbourg, ambayo pia inamilikiwa na...