MERSEYSIDE, Uingereza
LIVERPOOL imefikia makubaliano na Dominik Szoboszlai, hivyo kiungo huyo atasaini mkataba mpya klabuni hapo.
Szoboszlai alitua Anfield mwaka 2023 baada ya kuonesha kiwango bora...
RABAT, Morocco
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Morocco, Brahim Díaz, amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya fainali za Mataifa Afrika (AFCON) kufunga bao...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Mradi wa Umeme wa Jua unaotekelezwa Kishapu, mkoani Shinyanga, uko katika hatua za mwisho...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KILA ifikapo Desemba ya kila mwaka, maandalizi na shamrashamra za Sikukuu ya Krismas huonekana wazi katika maeneo mengi duniani.
Tofauti na miezi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KIINGEREZA kimeendelea kuwa lugha yenye ushawishi mkubwa duniani, ikitajwa kuwa ndiyo iliyokuwa na wazungumzaji wengi zaidi kwa mwaka 2025.
Ni kwa mujibu...
CATALUNYA, Hispania
MLINDA mlango wa Barcelona, Marc-Andre ter Stegen, atatimka klabuni hapo Januari hii, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Hispania.
Kipa huyo raia wa...
LONDON, Uingereza
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Bukayo Saka, amekubali kuongeza mkataba wa miaka mitano klabuni hapo.
Saka, ambaye amekuwa mchezaji muhimu kikosini katika miaka ya hivi karibuni,...
MANCHESTER, Uingereza
MANCHESTER City imefanikiwa kuinasa saini ya Antoine Semenyo na huenda straika huyo aliyetokea Bournemouth akaanza kuwatumikia matairi hao wa jijini Manchester wikiendi hii.
Kwa...
LONDON, Uingereza
BAADA ya kuvunja mkataba wake, Chelsea wamelazimika kumlipa Enzo Maresca kitita cha Pauni milioni 10, kwa mujibu wa Gazeti la Sun.
Kocha huyo raia...
RABAT, Morocco
MATAIFA mawili makubwa katika soka yatavaana Jumamosi hii ya Januari 10, 2026, ukiwa ni mchezo wa robo fainali ya msimu huu wa michuano...
RABAT, Morocco
NI kesho Januari 9, 2026, ambapo ni wazi mashabiki wa timu ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars' watakuwa upande wa Cameroon katika mchezo...