24.1 C
Dar es Salaam

Michezo

Infographic| Makinda wa mishahara minono England

INAFAHAMIKA kuwa ndiyo ligi maarufu na tajiri zaidi duniani, zikithibitisha hilo kwa namna klabu zake zinavyotumia fedha nyingi kwenye soko la usajili barani Ulaya.  Aidha,...

Visualization| Yaliyojiri usajili kiangazi Ulaya

HATIMAYE dirisha kubwa la usajili ambalo aghalabu hufanyika majira ya kiangazi barani Ulaya, lilifungwa hivi karibuni (Agosti 31). Mengi yalishuhudiwa, kubwa ikiwa ni Lionel...

Visualization| Mwakinyo na rekodi, ubabe wake ulingoni

JINA la Hassan Mwakinyo limeendelea kuchukua nafasi yake kwenye mchezo wa ngumi za kulipwa hapa nchini, hasa baada ya kumtwanga bondia wa kimataifa wa...

Visualization| Royal Antwerp; Mabosi wapya wa Samatta ‘wanaoteseka’ Ubelgiji

HIVI karibuni Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, alitua kwa mkopo Royal Antwerp ya Ubelgiji akitokea Fenerbahce ya Ligi Kuu nchini Uturuki. Ifahamike kuwa Samatta...

Visualization| Mlango wa kutokea unavyomuita Arteta

NI miaka takribani 17 bila ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) na Arsenal wameingia msimu huu wakiwa hawana tena matumaini ya kumaliza ndani...

Visualization| Kwanini Ronaldo ameondoka Juve, ametua Man United?

BAADA ya maneno kuwa mengi juu ya hatima yake katika klabu ya Juventus, hatimaye staa wa soka, Cristiano Ronaldo (36), akamaliza utata kwa kurejea...

Infographic| Makundi Afcon 2021, ni vita ya kibabe!

AGOSTI 17, 2021, ilichezeshwa droo ya hatua ya makundi ya fainali za Afcon 2021 zinazotarajiwa kuanza kutimua vumbi Januari 9, mwakani. Jina ‘Afcon 2021’...

Olimpiki 2021; Nani kuivua ubingwa Brazil?

TOKYO, JAPAN HUKU zikisikiliziwa ligi kubwa tano za Ulaya, mashabiki wa soka ulimwenguni watazitumia wiki chache za hivi karibuni kujipoza na michuano ya Olimpiki itayoanza...

Recent articles

spot_img