24.1 C
Dar es Salaam

Michezo

Kugombea uenyekiti TAREFA Sh 200,000

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzani(TFF), limetangaza uchaguzi mkuu wa Chama cha Soka  Mkoa wa Tabora ambapo gharama za...

Zuhura ahimiza wafanyakazi kushiriki michezo ili kujenga afya

Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, amewahimiza wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchini kujenga...

Simba yatinga fainali Kombe la Shirikisho Afrika

Na Mwandishi wetu, Gazetini Timu ya Simba imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya leo kutoka suluhu na Stellebosch katika mchezo wa...

TSA yajivunia ubora wa waogeleaji Klabu Bingwa Taifa

Na Winfrida Mtoi, Gazetini Mashindano ya kuogelea ya Klabu Bingwa Taifa yameanza huku uongozi wa Chama cha Kuogelea Tanzania (TSA), ukiwa na matumaini makubwa ya...

Dk. Mpango aweka jiwe la msingi ujenzi wa viwanja Zanzibar

*Asema serikali zote mbili zimedhamiria kufanya mageuzi sekta ya michezo Na Mwandishi Wetu, Gazetini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango...

Puuzeni sijatangaza kununua hisa Yanga-Rostam Azizi

*Asema hayupo nchini kwa muda mrefu *Awataka Watanzania kuwa makini na kupuuza taarifa hizo Na Mwandishi Wetu, Gazetini MFANYABIASHARA wa kimataifa, Rostam Azizi amesikitishwa na uwepo wa...

Infographic|Luis Diaz; alikataa Spurs, ametua Liverpool kwa Sh bilioni 85

Jembe la kazi lililotua Liver kwa bil. 85/-KUELEKEA mwishoni mwa dirisha la usajili la Januari lililofungwa hivi karibuni, Liverpool walivunja kibubu na kutoa Pauni...

Infographic| Makundi Afrika, ni vita ya kibabe

JUMAPILI Januari 9, 2022 kivumbi cha Fainali za AFCON 2021 kiaanza kutimua vumbi nchini Cameroon. Jina ‘Afcon 2021’ limetokana na ukweli kwamba michuano hii ilitarajiwa...

Visualization| Serikali inavyovuna fedha kwenye michezo ya kubahatisha

UKWELI usio na shaka ni kwamba sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini imeonekana kupiga hatua kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, ukuaji huo...

‘El Classico’ in Dar| Uhondo wa Mataifa 14 ya Afrika

WATANI wa jadi, Simba na Yanga wanakutana Jumamamosi Desemba 11, 2021 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara(NBC Primier...

Infographic| Unaipenda Yanga, unafahamu yanayokugusa Katiba Mpya?

MIEZI michache iliyopita, klabu ya Yanga katika Mkutano Mkuu wake iliwasilisha kwa wananchama wake mabadiliko 10 yatakayofanyika katika Katiba yake. Ifahamike kuwa hiyo ni hatua...

Visual| Mkwanja wa Azam na msisimko wake TPL 2021-22

HAKUNA namna nyingine zaidi ya uwekezaji wa maana ndipo maendeleo ya mchezo wa soka yaweze kuonekana. Uwekezaji si tu huziwezesha klabu kumudu gharama za...

Recent articles

spot_img