Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Arusha
Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (OSHA), imetoa mafunzo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Meli ya Silver Clouds iliyobeba takribani watalii 230 kutoka katika mataifa 18 duniani, leo Aprili 24,2024 imetia nanga kwenye Hifadhi ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ametangaza rasmi matokeo ya sensa ya wanyamapori katika mifumo mitatu ya ikolojia ya Nyerere-Selous-Mikumi, Saadani-Wamimbiki...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA)zinaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la matukio ya wanyamapori kuingia kwenye makazi ya watu...
*Wataalamu waeleza kuwa ni chanzo cha majanga makubwa matatu
*Serikali yatakiwa kuwa macho kuhakikisha wapunguza madhara
Na Faraja Masinde, Gazetini
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wezesha Binti na Mama Mjasiriamali (WBM) linatarajia kupanda miti 6,000 ndani...
*Atahadharisha kutokubadili matumizi ya eneo la uhifadhi
*JET kujenga wigo zaidi kwa waandishi
Na Faraja Masinde, Gazetini-Bagamoyo
Tanzania ni kati ya nchi chache duniani zilizobarikiwa kuwa na...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Katika kuhakikisha kuwa jamii inaandaa akina Wangari Maathai wengine watakaotunza mazingira, Ubalozi wa Kenya nchini Tanzania umeeleza kuwa upo tayari kuongeza...
*Asisitiza upandaji miti kwa ajili ya heshima ya Wangari
Na Faraja Masinde, Gazetini
“Katika mambo ambayo Wangari alihimiza na kuzingatia ni kwamba sisi tuna wajibu kama...
*Mtaalam aeleza vinavyosababisha mtindio wa ubongo kwa watoto
Na Faraja Masinde, Gazetini
Kundi la Wanawake na Watoto limetajwa kuwa hatarini zaidi kuathirika na matumizi ya viuatilifu...
Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo
Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) kwa niaba ya...