UN Tourism and TUI Care Foundation have solidified their ongoing partnership by signing an agreement at the UN Tourism headquarters in Madrid. The agreement...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza
Shirika la Together Development Initiative (TDI) lililopo Nyakato, jijini Mwanza, limechukua hatua za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa...
Na Grace Mwakalinga, Gazetini
Wilaya ya Chunya, iliyopo mkoani Mbeya, ni moja ya maeneo ambayo shughuli za uchomaji wa mkaa zinafanyika kwa kasi sana, hali...
Na Beatus Maganja, TAWA
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imetoa wito kwa wafanyabiashara wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika maeneo inayoyasimamia.
TAWA...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amewataka Watanzania kulinda viumbe vya baharini na kuhifadhi mazingira ya bahari...
Na Grace Mwakalinga, Gazetini-Morogoro
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imeanza mikakati ya kuboresha maeneo yote nchini yenye uhifadhi wa nyuki na kuwekea utaratibu maalum kwa...
Na Upendo Mosha, Gazetini- Bagamoyo
Wakazi wa kijiji cha Kondo, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wameonywa kuacha tabia ya kuharibu misitu ya mikoko iliyopo pembezoni mwa...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Pamoja na jitihada kubwa zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na biashara haramu ya viumbe pori, bado kuna umuhimu mkubwa...
Na Nora Damian, Gazetini
Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma amewaelekeza watumishi wa mahakama kuisoma ripoti ya Tume ya Haki Jinai ili kuimarisha ulinzi...
Na Faraja Masinde, Gazetini-Pwani
Katika kuhakikisha Taifa linakabiliana na mabadiliko ya Tabianchi Watanzania wametakiwa kupanda miti kwa wingi hasa wanaposherehekea siku zao za kuzaliwa.
Hayo yamesemwa na Brigedia...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Kwa miaka ya nyuma wananchi walikuwa hawaoni umuhimu wa uhifadhi wa mazingira na miongoni mwa sababu za wao kufanya hivyo ilikuwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, mkoani Geita, amewataka...