25.4 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Simbachawene: Watanzania wameonesha uzalendo kwa kudumisha amani

Na mwandishi wetu, Gazetini Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema Watanzania wameonesha uzalendo wa hali ya juu kwa kudumisha amani na utulivu, kufuatia...

Mo’ Dewji bado yumo, Dangote aongoza tena utajiri Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini RIPOTI mpya ya jarida maarufu la Forbes inamtaja mfanyabiashara wa Tanzania, Mohamed 'Mo' Dewji, kuwa nafasi ya 12 katika orodha ya...

Wazalishaji bidhaa za batiki Dar wanufaika na mafunzo ya OSHA

Na mwandishi wetu, Gazetini WANAWAKE zaidi ya 200 wanaojihusisha na utengenezaji bidhaa za batiki wamenufaika na mafunzo ya usalama na afya yenye lengo la kuwajengea...

Rais Samia azungumza na Kaimu Balozi wa Marekani

Na Mwandishi Wetu, Gazetini RAIS  Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, wakijikita katika  kudumisha ushirikiano wa...

Waziri Simbachawene  aagiza Jeshi la Polisi  kukamata watuhumiwa kwa staha

Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amemuagiza  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura kuhakikisha ukamataji wa watuhumiwa unafanywa kwa kufuata...

Abou Mayalla; Kipa wa viwango Comoro anayeitaka jezi Taifa Stars

Na Hassan Mwasha, Gazetini ABOUBAKAR Mayalla ni miongoni mwa wachezaji wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi, akiamini ni suala la muda tu...

Serikali yawekeza Tril. 13.5 kuboresha umeme, yazindua mita janja

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI imeendelea kuimarisha sekta ya nishati kupitia uwekezaji mkubwa wa zaidi ya Sh trilioni 13.5 katika miradi 41 ya umeme nchini,...

Dunia yaadhimisha Siku ya UKIMWI kwa onyo kali na wito wa kuchukua hatua

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Dunia leo Desemba 1, 2025, inaadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani, huku Umoja wa Mataifa ukitoa onyo kali kuhusu mustakabali wa mapambano...

Mtaalamu: Saidieni jamii kutambua manufaa ya bahari

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAANDISHI wa habari nchini wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kusaidia jamii, hususan ile inayoishi kandokando ya ukanda wa pwani, kutambua...

Azam hoi, yapigwa tena Shirikisho

Na mwandishi wetu, GazetiniBAO pekee la dakika ya 57 la Nordin Amrabat liliipa Wydad Casablanca uhakika wa pointi tatu za mchezo wao wa ugenini...

Yanga haitanii, yafikisha pointi nne CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniKATIKA mchezo wa jana, JS Kabylie ikiwa nyumbani ilimazilishwa suluhu na Yanga, ukiwa ni mchezo wa Kundi B msimu huu wa...

REA imefanya kazi kubwa ya kufikisha huduma za nishati vijijini- Waziri Ndejembi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kufikisha umeme kwenye vijiji na maeneo ya pembezoni mwa...

Recent articles

spot_img