23.9 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Enyi Watanganyika, ni nani aliyewaroga?

Na Hassan Mwasha, Gazetini KELELE za kukera, kama si za kuchefu kabisa, zinakita kwenye ngoma za masikio yangu. Kelele zinazojirudia, zinazochefua na kunipa picha ya...

Megawati 50 za umeme jua Kishapu kuingia gridini, mradi wafikia asilimia 89

Na mwandishi wetu, Gazetini NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Mradi wa Umeme wa Jua unaotekelezwa Kishapu, mkoani Shinyanga, uko katika hatua za mwisho...

Sangu: Wenye viwanda imarisheni afya na usalama wa wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amewataka wamiliki wa viwanda na maeneo mengine ya kazi...

Stars yang’olewa kibishi AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeondoshwa kwenye fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) lakini gumzo ni...

Serikali yatoa siku 90 wamiliki kusajili maeneo ya kazi OSHA

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imewataka wamiliki wa maeneo ya kazi nchini ambao maeneo yao hayajasajiliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi...

Yanga, Injinia Hersi; ‘win-win situation’ iliyorudisha chenji

Na Hassan Mwasha, Gazetini 'Win-win situation' ni nini? Ni pale pande mbili au zaidi zilizo kwenye mahusiano au ushirika wa kibiashara zinaponufaika kwa pamoja, pasi...

Simba yaja kidigitali, jezi sasa kuuzwa kwa simu

Na mwandishi wetu, Gazetini USHINDWE wewe tu! Sasa mashabiki na wanachama wa Simba wanaweza kupata jezi zao kidigitali, hata kupitia simu zao za mkononi. Wakati huo...

Dk. Mwigulu: Tutamuenzi kwa vitendo marehemu Jenista

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itayaendeleza mambo yote mema yaliyofanywa na aliyekuwa mbunge wa Peramiho mkoani Ruvuma, marehemu Jenista Mhagama...

Usiyoyajua kuhusu Mapinduzi Cup 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini MSIMU huu wa Kombe la Mapinduzi umekuja na sura mpya, kubwa ikiwa ni ongezeko la Shilingi milioni 50 katika zawadi ya...

Jenista kuzikwa Desemba 16

Na Mwandishi Wetu MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho (CCM), Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa Jumanne ya Desemba 16, 2025 katika Kijiji cha Ruanda, Mbinga mkoani...

Kinyerezi 1 Extension kubadili sura ya Dar es Salaam

Na mwandishi wetu, Gazetini Mabadiliko makubwa yanayoendelea ndani ya sekta ya nishati yanaanza kuibadili sura ya Jiji la Dar es Salaam, huku Serikali ikithibitisha kuwa...

Jenista Mhagama afariki dunia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini ALIYEKUWA Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama (58) amefariki dunia leo Disemba 11, 2025 jijini Dodoma. Kwa...

Recent articles

spot_img