HATIMAYE Tume ya Uchaguzi ya Zambia imemaliza kazi yake ya msingi, kumtangaza mshindi wa kinyang’anyiro cha urais, hatua iliyochukua siku tatu za kuhesabu kura.
Mgombea...
TATIZO la Ugonjwa wa Saratani ya Macho (Retinoblastoma) kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano limeanza kushamiri mkoani Mbeya kutokana na idadi...
CHANGAMOTO ya uhaba wa ajira imekuwa kaa la moto duniani kote, hasa kwa nchi zinazoendelea, ikiwamo Tanzania, huku wahanga wakubwa wakiwa ni vijana.
Aidha, ongezeko...
DAR ES SALAAM, TANZANIA
KWA bahati mbaya, kipaumbele cha walio wengi huwa ni kupata nafasi ya ajira, shughuli yoyote inayoweza kumuingizia kipato.
Hivyo basi, asilimia kubwa...
MICHUANO ya Olimpiki inaendelea huko Tokyo, Japan, huku ikitarajiwa kufikia ukomo wake Agosti 8, mwaka huu. Ikumbukwe ni mashindano yaliyopaswa kufanyika mwaka jana lakini...
Benki inayoongoza nchini Tanzania, NMB, imeendeleza ufanisi wake kiutendaji katika kipindi cha Nusu ya Kwanza ya mwaka 2021.
Faida baada ya kodi ya mapato imeongezeka...
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
“Kwa namna hali ilivyo siwezi kuruhusu hata wanangu wachanjwe hii chanjo ya corona, kwani imekuwa na mazingira mengi yanayotia...
TOKYO, JAPAN
HUKU zikisikiliziwa ligi kubwa tano za Ulaya, mashabiki wa soka ulimwenguni watazitumia wiki chache za hivi karibuni kujipoza na michuano ya Olimpiki itayoanza...
Wakati sheria ya ongezeko la tozo za miamala ya simu iliyoanza kutumika nchini Julai 15, mwaka huu, ikilalamikiwa kila kona, Watanzania walio wengi wameanza...
NA FARAJA MASINDE
MALENGO ya Dunia ni kuhakikisha kuwa janga la Virusi vya UKIMWI linabaki kuwa historia ifikapo 2030.
Tanzania nayo kama mwananchama wa Umoja wa...
NA MWANDISHI WETU
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), imesema maboresho makubwa wanayoendelea kufanyika yataiwezesha kuongoza kwa kuwa bandari kubwa inayopokea magari mengi Afrika Mashariki hadi...