Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kufanyika kwa Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa ya kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kuhakikisha Watanzania...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MKOA wa Dar es Salaam umetajwa kuwa unaongoza kwa kukamatwa dawa za kulevya na kwamba maeneo makubwa ya starehe (klabu) na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania inaendelea kuchukua hatua muhimu katika kuhakikisha kuwa asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2033.
Hatua hiyo...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali imeanza kuandaa Muongozo mpya wa kuhakikisha kuwa inapunguza changamoto ya migongano kati ya binadamu na wanyamapori huku ikiwawezesha wananchi kunufaika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Salum Hapi (MNEC) amekemea vikali matumizi ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi zinazolinda uhuru wa vyombo vya habari kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa mwaka...
*Asisitiza umuhimu wa elimu ya usalama mahala pa kazi
*Aipongeza OSHA kuboresha utendaji, ahimiza uhifadhi wa mazingira
Na Mwandishi Wetu, Arusha
Naibu Waziri Mkuu na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania ni kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zinafanya vema katika kupambana na janga la UKIMWI ambapo Takwimu zinaonyesha kuwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MATUKIO ya wanahabari kunyimwa taarifa kwenye vyanzo vya habari yameripotiwa kuwa mengi zaidi ukilinganisha na yale ya vitisho, kukamatwa, kupigwa, kufungiwa,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ametangaza rasmi matokeo ya sensa ya wanyamapori katika mifumo mitatu ya ikolojia ya Nyerere-Selous-Mikumi, Saadani-Wamimbiki...
Na Catherine Sungura-TARURA
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kwa kujenga barabara, vivuko na madaraja katika...