25.2 C
Dar es Salaam

Featured

GGML, OSHA yawanoa bodaboda 200 Arusha, Ndejembi awafunda

Na Mwandishi Wetu, Gazetini ZAIDI ya madereva bodaboda 200 wa jiji la Arusha wamepatiwa mafunzo maalum ya usalama na afya kwa lengo la kuwajengea uwezo...

Chart| Tanzania kinara Afrika Mashariki kwa uhuru wa vyombo vya habari

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi zinazolinda uhuru wa vyombo vya habari kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa mwaka...

Chart| Waandishi wa Habari waliofungwa gerezani kutokana na kazi yao

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mei 3 ya kila mwaka huazimishwa Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ni tukio muhimu lkwa ajili ya kusherehekea...

Diwani kufunga kamera shule zote za kata yake kuimarisha usalama wa watoto

Na Grace Mwakalinga, Gazetini DIWANI wa Kata ya Kiwira, wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, Michael Mwamwimbe, ameanzisha utaratibu wa kufunga kamera za ulinzi za kielekroniki (CCTV),...

Kyela Festival kuja na mpango wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Na Grace Mwakalinga, Gazetini- Kyela ASASI ya Kijamii ya Kyela Festival, inayofanya shughuli zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, imepanga kutoa elimu...

200 wapimwa afya na GGML katika maonesho ya OSHA

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Arusha ZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na kati yao kubainika...

TUCTA, OSHA wataka kampuni za madini kuiga ubunifu wa GGML

Na Mwandishi Wetu, Gazetini - Arusha SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) pamoja na Wakala wa Usalama na Afya mahalipa kazi (OSHA) wametoa wito...

IWPG Global Region 2 holds 5th commemoration of April 26 ‘International Women’s Peace Day’ in Ethiopia

*Over 200 attended at Addis Ababa University Global Region 2 of International Women's Peace Group (Regional Director Seo-yeon Lee) announced that they hosted a commemorative...

AGENDA yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mama Sayari Dunia na Malaria duniani

Na Grace Mwakalinga, Gazetini WATU zaidi ya milioni 500 duniani kila mwaka huambukizwa ugonjwa wa malaria unaosambazwa kwa kung’atwa na mbu jike aina ya Anopheles...

Mwenge wa Uhuru kukagua miradi yenye thamani ya Sh Trilioni 8.5 Pwani

Na Grace Mwakalinga, Gazetini-BAGAMOYO ZAIDI ya miradi 120 yenye thamani ya sh. Trilioni 8.5  kati yake, miradi 18 itawekwa jiwe la msingi, 22 itazinduliwa na...

IWPG Global Region 2, Partner Country, Colombia The 6th ‘International Loving Peace Art Competition’

*Hosted in collaboration with Colegio Alfonso López Pumare Ced Farallons School *Delivering the message of peace to children and adolescents through pictures The International Women's Peace...

Dk. Biteko: Mtu wa kwanza kujali usalama wake ni mwajiriwa

*Asisitiza umuhimu wa elimu ya usalama mahala pa kazi *Aipongeza OSHA kuboresha utendaji, ahimiza uhifadhi wa mazingira Na Mwandishi Wetu, Arusha Naibu Waziri Mkuu na...

Recent articles

spot_img