33.2 C
Dar es Salaam

Featured

Makala| Ukosefu wa mikakati unavyoinyima Tanzania utajiri kupitia shoroba

Na Faraja Masinde, Gazetini Kwa mujibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Sekta ya Utalii nchini inachangia asilimia 17.5 ya Pato la Taifa.Kama hiyo haitoshi...

Visual| Moto unavyotikisa uwepo wa Mlima Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Takwimu za Wizara ya Maliasili na Utalii nchini zinachambua kuwa Sekta ya Utalii inachangia asilimia 17.5 ya Pato la Taifa huku...

Makala| Rehema: Mwanangu alifariki sababu ya utoto wangu-2

Ripoti ya matokeo ya utafiti unaoitwa ‘Ndoa za utotoni Tanzania’ iliyotolewa Mchi 2, 2017 inasema wasichana wanaoingia katika ndoa mapema pia hupata ujauzito mapema, hali ambayo huwaweka...

Makala| Rehema: Mwanangu alifariki sababu ya utoto wangu-1

Na Mwandishi Wetu, Gazetini “Mwanangu wa kwanza alifariki dunia wakati nikijifungua, madaktari waliniambia kuwa njia yangu ya uzazi ilikuwa ndogo. Nilikuwa na miaka 17 tu...

Visual| Sababu za kuhitaji nishati safi ya kupikia

Na Faraja Masinde, Gazetini Takwimu za Wizara ya Nishati nchini zinaonyesha kuwa watu 33,000 wanafariki dunia kila mwaka nchini kutokana na kupikia mazingira yenye moshi...

Serikali, wataalamu wa nishati jadidifu kuwawezesha wanahabari kuripoti maswala ya nishati safi kwa weledi 

Na Tulinagwe Malopa, Gazetini Wakati wiki ya kwanza ya mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya tabianchi COP27 ukiendelea Sharm el-Sheikh nchini Misri, Novemba...

Utafiti| Wanafunzi ‘wamesahaulika’ mapambano ya VVU

*Serikali inakumbushwa kuchukua hatua ikiwamo kubadili sera*Wazazi nao watakiwa kutokubaki nyuma Na Faraja Masinde, Gazetini Ni zaidi ya miaka 40 sasa imepita tangu janga la Virusi...

Utekelezwaji duni wa maagizo ya Kamati za Kudumu za Bunge

Na, Anoth Paul, Gazetini KUMEKUWA na kusuasua kwa namna utekelezwaji wa maagizo ya Kamati za Bunge unavyosuasua kwa mujibu wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi...

Chati| Sababu za kushuka kwa ufaulu shule kuu ya Sheria Tanzania

Na, Anoth Paul, Gazetini Kwa mujibu wa Matokeo mwaka 2022 ni asilimia 4.1 tu ya wahitimu wamefaulu. Ndoto ya wanafunzi 633 katika Shule Kuu ya...

Visual| Ajali za Pikipiki tishio MOI

Na Anoth Paul, Gazetini Ajali zitokanazo na pikipiki zimesababisha idadi kubwa ya wagonjwa katika Taasisi ya Mifupa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Asilimia 70...

Elizabeth; Mama wa Watoto sita anayepambana na maisha Mvomero

Na Tulinagwe Malopa, Gazetini “Acha…Si unaumwa wewe? Sina pesa mimi ya kukukimbiza hospitali sahivi,” Ni maneno ya mama anayemkataza mtoto wake kufanya michezo ya hatari...

MAP| Wananchi Morogoro wanavyopambana na Malaria kwa watoto

*Ni mfereji uliopewa jina la ‘Aunty Malaria’ kwasababu ya uzalishaji wa mbu katika makazi yaliyo karibu *Pamoja na ugumu wa mazingira hayo, wananchi wanajitahidi kufanya...

Recent articles

spot_img