Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Ikiwa ni zaidi ya miaka 40 sasa tangu kuwapo kwa janga la Virusi Vya UKIMWI, Serikali ya Tanzania imesema kuwa imefanikiwa...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali imeshauriwa kuchukua hatua madhubuti ikiwamo kutoa elimu kwa wananchi na kuweka alama za kudumu katika maeneo yenye mapitio ya wanayama...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Kwa mujibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mkakati wa Kitaifa wa Kudhibiti Migogoro ya Binadamu - Wanyamapori 2020 -...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Kwa mujibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Sekta ya Utalii nchini inachangia asilimia 17.5 ya Pato la Taifa.Kama hiyo haitoshi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Takwimu za Wizara ya Maliasili na Utalii nchini zinachambua kuwa Sekta ya Utalii inachangia asilimia 17.5 ya Pato la Taifa huku...
Ripoti ya matokeo ya utafiti unaoitwa ‘Ndoa za utotoni Tanzania’ iliyotolewa Mchi 2, 2017 inasema wasichana wanaoingia katika ndoa mapema pia hupata ujauzito mapema, hali ambayo huwaweka...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
“Mwanangu wa kwanza alifariki dunia wakati nikijifungua, madaktari waliniambia kuwa njia yangu ya uzazi ilikuwa ndogo. Nilikuwa na miaka 17 tu...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Takwimu za Wizara ya Nishati nchini zinaonyesha kuwa watu 33,000 wanafariki dunia kila mwaka nchini kutokana na kupikia mazingira yenye moshi...
Na Tulinagwe Malopa, Gazetini
Wakati wiki ya kwanza ya mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya tabianchi COP27 ukiendelea Sharm el-Sheikh nchini Misri, Novemba...
*Serikali inakumbushwa kuchukua hatua ikiwamo kubadili sera*Wazazi nao watakiwa kutokubaki nyuma
Na Faraja Masinde, Gazetini
Ni zaidi ya miaka 40 sasa imepita tangu janga la Virusi...
Na, Anoth Paul, Gazetini
KUMEKUWA na kusuasua kwa namna utekelezwaji wa maagizo ya Kamati za Bunge unavyosuasua kwa mujibu wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi...