Na Hassan Daudi, Gazetini
Ripoti ya Mwaka ya Hali ya Watoto Duniani iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) inayofahamika kama "State...
Na Tulinagwe Malopa, Gazetini
Kisukari na shinikizo la damu ni magonjwa yanayoathiri mamilioni ya watu Tanzania na duniani kote. Hata hivyo, wengi wetu hatujui kuhusu...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa katika kuhakikisha ugonjwa wa Malaria unadhibitiwa huduma za ugonjwa huo zitaanza kutolewa bure katika vituo vya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto(UNICEF) Tanzania, zinaonyesha kuwa watoto Milioni 1.1 wenye...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Machi 24, ya kila mwaka Tanzania huungana na nchi nyingine duniani kiadhimisha siku ya Kifua Kikuu(TB).
Kwa hapa nchini Takwimu za Wizara...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Licha ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali katika kudhibiti Kifua Kikuu(TB) nchini ikiwamo kutoa matibabu bure lakini bado takwimu zinaonyesha kwamba...
Na Jackline Jerome,Gazetini
Watu wenye ulemavu ni moja kati ya makundi muhimu na maalumu katika jamii, hata hivyo, wakati mwingine limekuwa likikosa nafasi katika nyanja...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Kwa mujibu wa Ripoti ya Makadirio ya Kati ya Umoja wa Mataifa(UN's-Mid Year) Mwaka 2023 Dunia imefikisha watu bilioni 8. Idadi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Watu 7,266 wameripotiwa kupoteza maisha huku wengine 35,626 wakijeruhiwa kufuatia matetemeko ya ardhi yaliyozikumba nchi za Uturuki na Syria usiku wa...