Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mwandishi Faraja Masinde kutoka tovuti ya www.gazetini.co.tz inayo chini ya Gazetini Communications ni kati ya waandishi wa habari 91 waliopitishwa...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Changamoto ya viumbe vamizi katika nyanja ya uhifadhi imetajwa kama moja ya sababu inayodhorotesha ustawi wa sekta ya utalii na maendeleo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KATIKA kuadhimisha siku ya mtoto wa Afrika kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imeshirikiana na wadau mbalimbali likiwemo Jeshi la...
Na Faraja Masinde, Gazetini
TAFITI mbalimbali za afya zimethitisha kuwa chanjo huzuia takribani vifo milioni mbili hadi tatu kila mwaka kutokana na maradhi yanayozuilika kwa...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Tanzania, kama zilivyo nchi zingine za Afrika, imeendelea kugubikwa na changamoto ya uhaba wa ajira, hasa kwa kundi la vijana na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema wakurugenzi wa halmashauri ambao...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Juni 3, 2023 Tanzania imepokea ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767-300F, ni wazi kuwa hatua hiyo itachochea kukuza...
Na Malima Lubasha, Gazetini
SHIRIKA la Frankfurt Zoological Society(FZS) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara,wamezindua Mradi wa kudhibiti wanyama wakali na...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Tanzania inatekeleza ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme waMW 2,115 kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Rufiji maarufu kama Bwawa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kulingana na Ripoti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ya mwaka 2023, inaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la bidhaa za...
*TACAIDS yasema mapambano bado hayajaisha
*Nyenzo ya Kondomu yasisitizwa
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI ni kama bado yameendelea kuwa mtego kwa...