25.3 C
Dar es Salaam

Featured

Infographic| Ufanisi wa TIC kwa miaka mitatu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TANZANIA ni miongoni mwa nchi zenye fursa nyingi za uwekezaji katika Ukanda huu wa Afrika Mashariki, sambamba na hilo kwa siku...

GGML inavyoacha alama isiyofutika Geita

*...yatoa msaada wa madawati 8,823 Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kutimiza dhamira ya kuimarisha sekta ya elimu na kuwezesha mazingira ya utoaji elimu nchini kuwa ya...

Mtoto wa miezi miwili anyweshwa sumu ya kuulia wadudu Serengeti

Na Malima Lubasha, Gazetini NI unyama! Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Kenokwe kata ya Mosongo wilayani Serengeti mkoani...

“Kama mnapanga siku na saa ya kukutana, usisahau kinga”-Dk. Kikwete

*Asema GGML wameonyesha njia udhibiti wa VVU *...ataka vijana kujihadhari Na Mwandishi Wetu, Gazetini RAIS mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Kill Challenge inavyosukuma jitihada za kudhibiti UKIMWI nchini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete amepongeza kampeni maalum ya kuchangia fedha katika utekelezaji wa afua...

Dk. Kikwete kuwaaga wapanda mlima 61 Kampeni ya GGML KiliChallenge-2023

Na Mwandishi Wetu, Gazetini RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kesho Ijumaa Julai 14, 2023 anatarajiwa kuwaaga jumla ya washiriki 61 watakaopanda mlima Kilimanjaro kupitia kampeni...

Chart| Tembo wanavyoitesa Serikali Same

*Wadau wasema utafiti wa kina unahitajika ili kupata suluhu Na Jackline Jerome, Gazetini Vijiji 25 wilayani Same mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania yamegauka kuwa maskani ya...

Infographic| Tunachofahamu kuhusu Mji wa Serikali

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Takwimu zinaeleza kuwa miji inakadiriwa kuzalisha asilimia 80 ya ukuaji wote wa uchumi. Hivyo hakuna shaka kuwa Mji wa Serikali nchini Tanzania ambao...

DCEA: Kila mtu anawajibika kudhibiti dawa za kulevya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika kuhakikisha kuwa matumizi ya dawa za kulevya nchini yanadhibitiwa, jamii imeaswa kuelimisha watoto na vijana juu ya athari zitokanazo na...

Visual| Fahamu idadi ya Watoto Tanzania

*Serikali iongeze nguvu vijijini Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, idadi ya Watoto nchini Tanzania ni...

Mramba avutiwa na banda GGML Sabasaba

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Felchesmi Mramba ametembelea banda la Maonesho la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...

Visual| Idadi ya watu Tanzania kwa umri

Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Oktoba 23, 2022 yanaonyesha kwamba idadi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Vijijini ni karibu...

Recent articles

spot_img