Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 10, 2023 ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa)...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited imenyakua tuzo nne ikiwamo mshindi wa jumla katika maonesho ya teknolojia ya madini yaliyofanyika kwa...
*Asema hayupo nchini kwa muda mrefu
*Awataka Watanzania kuwa makini na kupuuza taarifa hizo
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MFANYABIASHARA wa kimataifa, Rostam Azizi amesikitishwa na uwepo wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman leo Jumamosi Septemba 30, 2023 ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold...
Na ,wandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya teknolojia...
*Wanawake wapewa neno
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada ya wananchi...
*Wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau mbalimbali baada ya wageni kutoka Wizara...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
ZAIDI ya Wanafunzi 50 kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Nyankumbu iliyopo mkoani Geita wamepatiwa mbinu za kuzingatia katika masomo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo ameziagiza kampuni zote nchini zinazojihusisha na uchimbajin wa...
*Madaktari watoa ujumbe kwa jamii
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) Ijumaa Septemba 22, 2023 wamejitokeza katika maonesho ya...