32.3 C
Dar es Salaam

Featured

Rostam kuanza kuzalisha umeme Zambia

*Kuanza kwa kuwekeza Bilioni 250 Na Mwandishi Wetu, Lusaka Mfanyabishara wa Kimataifa, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group, ameingia nchini Zambia ambako ameanza kuwekeza...

Visual| Mipango ya kuinua kilimo inavyosahaulika kwenye makaratasi Buchosa

Na Clara Matimo, Gazetini Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ina dhamira ya kuona sekta ya kilimo nchini ikipiga...

Visual| Kituo cha Maarifa Manyoni kinavyosaidia mapambano ya VVU

*Kamati ya Bunge ya Afya na UKIMWI yapongeza Na Nadhifa Omar, Singida Kituo cha Maarifa cha Manyoni mkoani Singida kimechangia katika mikakati ya Taifa ya utoaji...

Chart| Uchumi wa Tanzania wazidi kupaa mwaka 2023

Na Jackline Jerome, Gazetini Kulingana na takwimu mpya zilizotolewa mwaka huu na Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF), pato la Taifa la Tanzania kwa bei ya...

Rais Samia atunukiwa PHD India, aitoa kwa Watoto

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 10, 2023 ametunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima (Honoris Causa)...

Waziri Jafo akutana na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa ya miradi ya Mazingira

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na wawakilishi wa...

GGML yaibuka mshindi wa jumla maonesho ya madini Geita

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited imenyakua tuzo nne ikiwamo mshindi wa jumla katika maonesho ya teknolojia ya madini yaliyofanyika kwa...

Puuzeni sijatangaza kununua hisa Yanga-Rostam Azizi

*Asema hayupo nchini kwa muda mrefu *Awataka Watanzania kuwa makini na kupuuza taarifa hizo Na Mwandishi Wetu, Gazetini MFANYABIASHARA wa kimataifa, Rostam Azizi amesikitishwa na uwepo wa...

Makamu wa pili wa Rais Zanzibar atembelea banda la GGML maonesho ya madini Geita

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman leo Jumamosi Septemba 30, 2023 ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold...

Waziri madini atembelea banda la GGML, ashuhudia mradi wa uwanja wa kisasa

Na ,wandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ametembelea banda la Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) katika maonesho ya sita ya teknolojia...

Wananchi Geita wachangamkia uchunguzi wa saratani bure

*Wanawake wapewa neno Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada ya wananchi...

Wataalam Uganda watinga maonesho ya madini Geita

*Wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau mbalimbali baada ya wageni kutoka Wizara...

Recent articles

spot_img