Na Jackline Jerome, Gazetini
Tanzania inatekeleza ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme waMW 2,115 kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Rufiji maarufu kama Bwawa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kulingana na Ripoti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ya mwaka 2023, inaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la bidhaa za...
*TACAIDS yasema mapambano bado hayajaisha
*Nyenzo ya Kondomu yasisitizwa
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI ni kama bado yameendelea kuwa mtego kwa...
Na Hassan Daudi, Gazetini
Ripoti ya Mwaka ya Hali ya Watoto Duniani iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) inayofahamika kama "State...
Na Tulinagwe Malopa, Gazetini
Kisukari na shinikizo la damu ni magonjwa yanayoathiri mamilioni ya watu Tanzania na duniani kote. Hata hivyo, wengi wetu hatujui kuhusu...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa katika kuhakikisha ugonjwa wa Malaria unadhibitiwa huduma za ugonjwa huo zitaanza kutolewa bure katika vituo vya...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Machi 24, ya kila mwaka Tanzania huungana na nchi nyingine duniani kiadhimisha siku ya Kifua Kikuu(TB).
Kwa hapa nchini Takwimu za Wizara...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Licha ya kazi kubwa inayofanywa na Serikali katika kudhibiti Kifua Kikuu(TB) nchini ikiwamo kutoa matibabu bure lakini bado takwimu zinaonyesha kwamba...
Na Jackline Jerome,Gazetini
Watu wenye ulemavu ni moja kati ya makundi muhimu na maalumu katika jamii, hata hivyo, wakati mwingine limekuwa likikosa nafasi katika nyanja...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Kwa mujibu wa Ripoti ya Makadirio ya Kati ya Umoja wa Mataifa(UN's-Mid Year) Mwaka 2023 Dunia imefikisha watu bilioni 8. Idadi...