Na Mwandishi Wetu
Rais wa Finland, Alexander Stubb leo Mei 16, 2025 akiwa katika muendelezo wa ziara yake hapa nchini ametembelea Soko la Machinga Complex Ilala Jijini Dar es Salaam kujionea uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema linamshikilia na kumhoji Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi kwa tuhuma za kuyageuza makazi yake kuwa kanisa na kuendesha shughuli za kidini bila usajili, kufanya mahubiri kwa waumini...
Na Mwandishi Wetu
Bunge la Tanzania limeidhinisha Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yenye jumla ya Sh 2.746 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi mbalimbali na mamia ya Wananchi katika maziko...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, amewasili nchini na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan, kisha kukagua gwaride la...
Na Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia,...
Na Mwandishi wetu, Mwanza
Timu nane zilizofuzu hatua ya robo fainali (Super 8) itakayochezwa kwa mtindo wa mzunguko zinatarajia kuamua bingwa wa michuano ya Ligi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Cleopa Msuya...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limemkamata Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Aman Golugwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA),Ramadhan Missiru amefungiwa na Kamati ya Maadili ya Soka Tanzania...
Na Mwandishi Wetu
Baada ya kutoka ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Abdallah 'Ibraah', amesema ishu yake Konde...