37.6 C
New York

Urusi, Ukraine piga nikupige inaendelea

Published:

KYIV, Ukraine

VIKOSI vya jeshi la Urusi vimetekeleza shambulizi la ndege zisizo na rubani nchini Ukraine na kusababisha vifo vya watu 13.

Mamlaka za Ukraine zimethibitisha kutokea kwa shambulizi hilo usiku wa kuamkia leo Juni 2, 2026 mjini Kyiv.

Kwa upande wake, kiongozi mwandamizi wa jeshi la Ukraine, Tymur Tkachenko, amesema watoto ndiyo walioumizwa zaidi.

Aidha, shambulizi limefanyika saa chache tangu Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, aliposema wangeshambuliwa na majirani zao hao wa Mashariki mwa Ulaya.

Aidha, Tkachenko amelaani kitendo cha wanajeshi wa Urusi kulenga makazi ya raia wasio na hatia.

Wakati huo huo, Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imeweka wazi kuwa nayo imejibu mapigo kwa kushambulia vinu vya nishati huko Urusi.

Related articles

Recent articles