MANCHESTER, UingerezaBAADA ya kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Brighton, kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, ameeleza sababu ya kupoteza mchezo huo wa Ligi...
JAKARTA, IndonesiaRAIS wa Indonesia, Prabowo Subianto, ameyaita kuwa ni uhaini na ugaidi maandamano ya raia yanayoendelea nchini humo.Indonesia, Taifa la Kusini-Mashariki mwa Asia, inakabiliwa...
JERUSALEM, PalestinaSHAMBULIZI la anga lililofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza limemuua Msemaji wa Kundi la Hamas, Abu Obeida.Taarifa ya kifo chake inakuja baada...
Na Mwandishi Wetu, Arusha
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ni miongoni mwa taasisi zilizoalikuwa kushiriki kutoa mada mbalimbali katika kikao kazi cha Makatibu...
LONDON, UingerezaMATAJIRI wa Newcastle United wameweka rekodi ya usajili wa bei mbaya klabuni hapo kwa kumnasa straika wa Stuttgart, Nick Woltemade.Hilo ni pigo kubwa...
KYIV, UkraineALIYEWAHI kuwa Mbunge nchini Ukraine, Andriy Parubiy, amefariki leo baada ya kupigwa risasi mjini Lviv, Ukraine.Chanzo cha taarifa hiyo kimeeleza kuwa Parubiy alishambuliwa...
WASHINGTON, MarekaniRAIS wa Palestina, Mahmoud Abbas, amepigwa marufuku kuingia Marekani, hivyo atakosa nafasi ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN unaotarajiwa kufanyika...
MANCHESTER, UingerezaLICHA ya Kobbie Mainoo kuomba kuondoka kwa mkopo, Manchester United imemwambia kiungo huyo abaki na kuipambania namba kikosini.Kwa sasa, klabu kadhaa za Ulaya...
LONDON, UingerezaKLABU ya Tottenham iko kwenye hatua nzuri ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa RB Leipzig na timu ya taifa ya Uholanzi, Xavi Simons.Kwa...
ISTANBUL, UturukiKLABU ya Fenerbahce imetangaza kumfungashia virago kocha wake raia wa Ureno, Jose Mourinho 'Special One' ukiwa ni mwaka mmoja tu tangu alipoajiriwa.Hatua ya...
LONDON, UingerezaKOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, hajamjumuhisha beki Trent Alexander-Arnold katika kikosi kitakachocheza mechi mbili za kuwania kufuzu Kombe la...