Na mwandishi wetu, Gazetini
HATIMAYE Karim Khan ameondoshwa katika kiti cha Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Kashfa ya unyanyasaji wa...
LONDON, Uingereza
LEJENDARI wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Angel Di Maria, amemtaka Lionel Messi kuachana na wazo la kutundika daluga.
Di Maria amekuja...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Arsenal imekamilisha usajili wa kiungo wa Cardiff City, Axel Donczew, ambaye ni 'bwana mdogo' mwenye umri wa miaka 16.
Kwa mujibu wa...
MUNICH, Ujerumani
WIKI chache zilizopita, alikuwa kwenye meza ya uchambuzi wa mechi za Kombe la Dunia akiishuhudia timu yake ya Taifa ya Ujerumani ikiondoshwa na...
OSLO, Norway
SHIRIKISHO la Soka la Norway (NFF) limetangaza nia yake ya kumshitaki Rais Donald Trump kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Norway wanapeleka barua...
LONDON, Uingereza
KIUNGO wa Arsenal raia wa Ureno, Fabio Vieira, anajiandaa kuondoka klabuni hapo kipindi hiki cha usajili wa dirisha kubwa.
Nyota huyo mwenye umri wa...
MADRID, Hispania
KLABU ya Real Madrid imewasilisha ofa yake ya Pauni milioni 85 kwa RB Leipzig wakiitaka saini ya winga wa klabu hiyo ya Bundesliga,...
LONDON, Uingereza
WAKATI Alex Ferguson akiwa ndiye kocha aliyehudumu kwa muda mrefu mrefu Ligi Kuu ya England (EPL), Sam Allardyce naye ana historia yake kwenye...
LONDON, Uingereza
MPAKA sasa, Alex Ferguson anabaki katika historia ya soka la Ulaya kama kocha mwenye mataji mengi ya Ligi Kuu ya England (EPL). Alistaafu...
BOSTON, Marekani
RUDI GARCIA wa Ubelgiji ni miongoni mwa makocha waliojikuta kwenye wakati mgumu katika fainali zilizopita za Kombe la Dunia.
Itakumbukwa kuwa Garcia aliondoka kwenye...
HAGUE, Uswis
ALIYEKUWA Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan, ameondoshwa kwenye nafasi hiyo.
Ni baada ya nchi wanachama kukutana jana...