Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa...
*Lawataka WAVIU kuamka wakatae utegemezi
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
Katika tukio la kihistoria lililomjumuisha Bodi mpya ya uongozi wa Baraza la Kitaifa la Watu Wanaoishi na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Viongozi wa dini nchini wamehimizwa kuwaelimisha na kuwajenga vijana katika maadili mema, kuwaepusha na maambukizi ya VVU na kudhihirisha jitihada za...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi ametembelea mabanda mbalimbali na kujionea maandalizi yaliofanywa na wadau mbalimbali kuelekea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenista Mhagama amewapongeza watoto Abel Mussa na Rebbeca Damian wenye...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema Serikali itaendelea kuunga mkono kampeni ya GGML...
*Asema GGML wameonyesha njia udhibiti wa VVU
*...ataka vijana kujihadhari
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
RAIS mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML)...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete amepongeza kampeni maalum ya kuchangia fedha katika utekelezaji wa afua...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kesho Ijumaa Julai 14, 2023 anatarajiwa kuwaaga jumla ya washiriki 61 watakaopanda mlima Kilimanjaro kupitia kampeni...
*TACAIDS yasema mapambano bado hayajaisha
*Nyenzo ya Kondomu yasisitizwa
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI ni kama bado yameendelea kuwa mtego kwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Februari 3, 2023 Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI iliwasilisha taarifa yake bungeni kwa kipindi cha Februari 2022 hadi Februari...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Ikiwa ni zaidi ya miaka 40 sasa tangu kuwapo kwa janga la Virusi Vya UKIMWI, Serikali ya Tanzania imesema kuwa imefanikiwa...