Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Misitu ina mchango mkubwa katika sekta ya utalii, ikivutia mamilioni ya wageni kila mwaka na kuchangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa jamii za wenyeji. Ikiwa inashughulikia zaidi ya 30% ya ardhi ya dunia,...
*Mbunge naye ahusishwa kumwanga fedha kiasi cha 5,000 hadi 50,000/- kwa wajumbe ili wamuunge mkono, mwenyewe ajibu
NaMwandishi Wetu, Rorya
JOTO la Uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linazidi kupana huku mafunzo kwa watendaji wa chama hicho...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeitaka Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) kuongeza juhudi katika...
Na Mwandishi Wetu, GazetiniMamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) na Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS), Septemba 23, 2024, wamesaini...
Na Nadhifa Omary, TACAIDS
Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imepongeza Menejimenti ya Tume hiyo kwa kujiwekea malengo yanayotekelezeka yenye lengo la kumaliza...
Na Nora Damian, Gazetini
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umebaini asilimia 15 ya wagonjwa wenye Virusi vya UKIMWI...
*....yadhamiria kupunguza zaidi
Na Faraja Masinde, Gazetini
Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kutoka asilimia 7 hadi kufikia asilimia...
*TACAIDS yawashukuru wadau wanaoungana na serikali katika jitihada za kudhibiti maambukizi ya VVU
Na Nadhifa Omar, TACAIDS
Kampeni maarufu ya kuchangisha fedha za UKIMWI ya Kili...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania ni kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zinafanya vema katika kupambana na janga la UKIMWI ambapo Takwimu zinaonyesha kuwa...
Na Nadhifa Omary, Gazetini-Dodoma
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), imehimiza wadau kutoa ushirikiano kwa maoni na mawazo yao chanya ambayo yataboresho mkakati wa ukusanyaji fedha...
Na Nadhifa Omary - TACAIDS
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania - TACAIDS kwa kushirikiana na wadau wamefanya Kikao cha Siku tatu jijini Arusha kwa lengo...
Na Nadhifa Omar, TACAIDS
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Jerome Kamwela, ameongoza kikao cha Baraza la wafanyakazi la Tume...
Na Nadhifa Omary, TACAIDS
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania kwa kushirikiana na wadau wamekutana kupitia, kujadili na kuthibitisha rasimu tatu za uratibu wa afua za...