Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mabadiliko ya tabianchi ni changamoto inayoendelea kuathiri maisha ya watu duniani kote, hasa watoto ambao ni miongoni mwa makundi yaliyo hatarini zaidi.
Tanzania, kama ilivyo kwa mataifa mengine yanayoendelea, inakabiliwa na athari mbaya za...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Watoto wa Tanzania wameonyesha juhudi kubwa katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wakihusishwa moja kwa moja kupitia miradi ya mazingira inayotekelezwa mashuleni.
Ushiriki wao sio tu kwamba unakuza uelewa wa umuhimu wa mazingira, bali...
*Wakulima waita wenzao kujisajili
Na Mwandishi Wetu, Mbeya
WAKULIMA wa mikoa ya Nyanda za Juu wametoa wito kwa wakulima wenzao wa mazao mbalimbali kujisajili na mfumo...
Na Tulinagwe Malopa, Gazetini
Wakati wiki ya kwanza ya mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya tabianchi COP27 ukiendelea Sharm el-Sheikh nchini Misri, Novemba...
UKWELI usio na shaka ni kwamba sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini imeonekana kupiga hatua kubwa katika miaka ya hivi karibuni.
Hata hivyo, ukuaji huo...