Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali iko katika mbioni kuunganisha Shoroba mbili za Derema na Amani Nilo zinazopatikana ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mazingira Asilia...
*Serikali yasisitiza wananchi kuwa na subira
Na Faraja Masinde, Muheza
“…tuliumia sana, tukawaachia tu wakaruka na kwenda zao. Tukasema hatuna cha kufanya… na wakati huo ndiyo...
*Wadau wasema utafiti wa kina unahitajika ili kupata suluhu
Na Jackline Jerome, Gazetini
Vijiji 25 wilayani Same mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania yamegauka kuwa maskani ya...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Changamoto ya viumbe vamizi katika nyanja ya uhifadhi imetajwa kama moja ya sababu inayodhorotesha ustawi wa sekta ya utalii na maendeleo...
Na Malima Lubasha, Gazetini
SHIRIKA la Frankfurt Zoological Society(FZS) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara,wamezindua Mradi wa kudhibiti wanyama wakali na...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Kwa mujibu wa Ripoti ya Makadirio ya Kati ya Umoja wa Mataifa(UN's-Mid Year) Mwaka 2023 Dunia imefikisha watu bilioni 8. Idadi...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Serikali imeshauriwa kuchukua hatua madhubuti ikiwamo kutoa elimu kwa wananchi na kuweka alama za kudumu katika maeneo yenye mapitio ya wanayama...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Kwa mujibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mkakati wa Kitaifa wa Kudhibiti Migogoro ya Binadamu - Wanyamapori 2020 -...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Kwa mujibu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Sekta ya Utalii nchini inachangia asilimia 17.5 ya Pato la Taifa.Kama hiyo haitoshi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Takwimu za Wizara ya Maliasili na Utalii nchini zinachambua kuwa Sekta ya Utalii inachangia asilimia 17.5 ya Pato la Taifa huku...