Ads: info@gazetini.co.tz |
23.7 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Ndoto ya kuunganisha Tanga na Pwani ya Afrika Mashariki mbioni

*Ujenzi wake wafikia asilimia 74.3 Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Tanga UJENZI wa Daraja la Pangani mkoani Tanga, lenye urefu wa mita 525 pamoja na barabara unganishi na...

Huyu ndiye kocha mpya Yanga

Na Hassan Mwasha, GazetiniYANGA wamemtambulisha kocha mpya, Patrick Mabedi, ambaye amejiunga na benchi la ufundi kufanya kazi chini ya Romain Folz. Ifahamike kuwa Yanga...

Tamthilia Azam TV; Uhondo umeanzia walipoishia ITV

Na mwandishi wetu, GazetiniLEO hii, kama ni 'mateka' wa tamthilia za Tanzania zinazorushwa na Azam TV, basi tunaweza kusema unaiishi dunia yenye kumbukumbu nzuri...

Megawati 90 kuongeza uchimbaji madini Chunya – “umeme safi, uwekezaji bora”

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mbarak Alhaji Batenga, amefafanua mikakati kabambe ya kuimarisha shughuli za uchimbaji madini wilayani humo, ikiwemo ujenzi...

Singida Fountain Gate kuzindukia kwa Dodoma?

Na Hassan Mwasha, GazetiniUKITUPA macho kwenye msimamo, Singida Fountain Gate iko mkiani ikiwa imezibeba timu zingine 19 zinazoshiriki msimu huu wa Ligi Kuu Bara.Iko...

Mechi 42, mabao 36 Ligi Kuu Bara 2025-26

Na Hassan MwashaKABLA ya mapumziko ya kupisha mechi za timu za taifa zilizo kwenye kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), msimu huu...

Gamondi mtu wa kazi Singida Black Stars

Na Hassan Mwasha, GazetiniUKIACHA Simba, Singida Black Stars ndiyo timu pekee ambayo si tu haijafungwa, bali pia imeshinda mechi zote ilizoshuka dimbani msimu huu...

Mbeya City kwa Yanga, Pamba Jiji na Tabora

Na Hassan Mwasha, GazetiniKUFIKIA hatua hii ya msimu wa 2025-26 wa Ligi Kuu Bara, zimeshashuhudiwa sare 12 lakini suluhu (0-0) ni mbili pekee, kwa...

Utafiti waonesha mafuta yanaweza kupatikana ndani ya Tanzania Bara

Na Mwandishi Wetu, Gazetini, Arusha UTAFITI unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere, unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika Bonde la Ufa la Afrika...

Dk. Samia: Tokeni kifua mbele, hakuna wa kuwatisha Oktoba 29

Na Mwandishi Maalum, Gazetini MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza kuwa hakuna kitakachotokea Oktoba 29, hivyo wananchi...

Mramba: Miradi ya nishati itakuwa nguzo kuu kutimiza Dira ya Taifa 2050

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amekutana na wataalamu kutoka Tume ya Taifa ya Mipango wakiongozwa na Naibu...

Utafiti mpya wa Shanta Gold waongeza matumaini ya dhahabu zaidi Chunya

Na Mwandishi Wetu, Gazetii- Chunya UPANUZI wa shughuli za uchimbaji uliofanyika katika eneo la Porcupine North umeongeza uhai wa Mgodi wa Shanta Gold – New...

Recent articles