Ripoti mpya ya Shirika la Afya Dunaini(WHO) na Shirika la Kuhudumia Watoto Ulimwenguni (UNICEF), iliyotolewa kwenye Siku ya Kunawa mikono Duniani, inaonyesha kwamba...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Agosti 23, mwaka huu Tanzania inatarajia kufanya Sensa ya Watu na Makazi ikiwa ni sensa ya sita kufanyika tangu Muungano wa...
HAKUNA namna nyingine zaidi ya uwekezaji wa maana ndipo maendeleo ya mchezo wa soka yaweze kuonekana. Uwekezaji si tu huziwezesha klabu kumudu gharama za...
INAFAHAMIKA kuwa ndiyo ligi maarufu na tajiri zaidi duniani, zikithibitisha hilo kwa namna klabu zake zinavyotumia fedha nyingi kwenye soko la usajili barani Ulaya.
Aidha,...
SEKTA ya kilimo imekuwa na tija kubwa kwa maendeleo ya nchi nyingi barani Afrika, ikiwamo Tanzania.
Huku kikiwa chanzo cha ajira kwa asilimia zaidi ya...
NI miaka minne imepita tangu alipokuwa uraiani na hatimaye leo mfanyabiashara James Rugemalira ameuacha mlango wa gereza baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP)...
SIASA za Afrika Magharibi zimetikiswa na tukio la mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo jeshi la Guinea liliamua kushika hatamu kwa kuipindua Serikali ya Rais...
HATIMAYE dirisha kubwa la usajili ambalo aghalabu hufanyika majira ya kiangazi barani Ulaya, lilifungwa hivi karibuni (Agosti 31). Mengi yalishuhudiwa, kubwa ikiwa ni Lionel...
KESHO jumla ya wanafunzi 1,132,143 wataanza mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi (PSLE) kwa mwaka huu na idadi hiyo inatokana na shule 17,585 zilizoko...
JINA la Hassan Mwakinyo limeendelea kuchukua nafasi yake kwenye mchezo wa ngumi za kulipwa hapa nchini, hasa baada ya kumtwanga bondia wa kimataifa wa...