27.2 C
Dar es Salaam

Kipengele

Visual| Ugumu wa maisha unavyosukuma vijana kwenye janga la UKIMWI

Na Faraja Masinde, Gazetini "Nilivyompigia simu akanitumia meseji akisema kuwa 'Ushawahi kuona wapi mdomo uliooza ukatoa jino salama' nilimuuliza unamaanisha nini akaniambia wewe unamaradhi, nikamjibu...

Infographic| Makundi Afrika, ni vita ya kibabe

JUMAPILI Januari 9, 2022 kivumbi cha Fainali za AFCON 2021 kiaanza kutimua vumbi nchini Cameroon. Jina ‘Afcon 2021’ limetokana na ukweli kwamba michuano hii ilitarajiwa...

Visual| Mitandao ya simu ilivyopoteza wateja

Ripoti mpya ya Robo ya tatu ya Mwaka 2021 iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonyasha kuwa kumekuwa na panda shuka ya wateja...

Infographic| Hatua zilizopigwa Sekta ya Mifugo na Uvuvi

Sekta ya Mifugo ni miongoni mwa maeneo ambayo Tanzania imekuwa ikiyatumia katika kuingiza fedha za kigeni ikiwamo pia utoaji wa ajira kwa Watanzania. Hata hivyo,...

Makala: Wazazi, wadau wataka fursa nyingine waliokatizwa masomo kwa mimba

CHANGAMOTO za maisha ikiwamo ukosefu wa mahitaji muhimu kwa wasichana walioko shule ni moja ya vichochezi vinavyosababisha wengi kuishia kupata ujauzito hali inayokosesha fursa...

Visualization| Serikali inavyovuna fedha kwenye michezo ya kubahatisha

UKWELI usio na shaka ni kwamba sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini imeonekana kupiga hatua kubwa katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, ukuaji huo...

Ripoti| Mitandao inavyogeuka tishio maisha ya watu

LICHA ya ujio wa mitandao ya kijamii kuwa na faida nyingi katika nyanja mbalimbali, ikiwamo ya kiuchumi, ukweli usio na shaka ni kwamba imekuwa...

Infographic| Mazingira ya elimu kwa Wanafunzi wenye Ulemavu Tanzania

Ripoti ya Utafiti juu ya Upataji Elimu ya Awali kwa Watoto wenye Ulemavu Tanzania Bara, iliyozinduliwa Septemba, 2021 na Shirika la Haki Elimu Tanzania uliohusisha maeneo matatu...

‘El Classico’ in Dar| Uhondo wa Mataifa 14 ya Afrika

WATANI wa jadi, Simba na Yanga wanakutana Jumamamosi Desemba 11, 2021 katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara(NBC Primier...

Visual| Wizara ya Habari na Miaka 60 ya Uhuru

DESEMBA 9 kila mwaka, ni kumbukizi ya uhuru wa Tanzania kutoka kwa Waingereza na kwa mwaka huu itakuwa ni miaka 60 tangu ilipojitoa kwenye...

Visualization| Dawa za kulevya na mapambano yake Tanzania

Tatizo la Dawa za Kulevya lina madhara makubwa katika Maisha ya wananchi, uwezo wa raslimali watu na maendeleo endelevu ya nchi. Kwa kutambua athari hizo...

Recent articles

spot_img