22.2 C
Dar es Salaam

Kipengele

Ripoti| Wafanyakazi wengi wanatishwa kazini Tanzania

Machapisho mbalimbali yanaitafsiri Kazi kama ni seti ya shughuli ambazo zinafanywa kwa ajili ya kufikia lengo, kutatua shida au kuzalisha bidhaa na huduma ili...

Ripoti| Je unawafahamu Wanawake Ma-CEO Afrika 2022?

Machi 8, 2022 mtandao wa Africa.com ulitangaza Orodha Mahususi ya pili ya Wakurugenzi Wakuu na Maafisa Watendaji wakuu Wanawake, kulingana na Siku ya Kimataifa...

Infographic| OSHA inavyosaidia kukuweka salama kazini

Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kwamba uchumi wa nchi unaimarika hususan sekta ya viwanda. Hata...

Infographic| Ukeketaji bado haujaisha

Ukeketaji ni kitendo cha kimila kinachotekelezwa na baadhi ya jamii ambapo sehemu ya nje ya via Ukeketaji ni kitendo cha kimila kinachotekelezwa na baadhi...

Visual| Reli bado ina umuhimu

Treni au Garimoshi ni aina ya usafiri ambao umekuwapo miaka na miaka. Historia ya treni inahusu miaka mia mbili iliyopita ya ustaarabu wa kibinadamu...

Visual| TB bado ni janga nchini

Pamoja na nguvu kubwa ambayo imekuwa ikitumika na Serikali ya Tanzania katika kutokomeza Kifua Kikuu lakini takwimu zinaonyesha kwamba bado kuna kazi kubwa ya...

Infographic| Tunayofahamu kuhusu hali ya Saratani nchini

*Mapambano ya saratani ya mlango wa kizazi yaendelea “Kupima saratani ya mlango wa kizazi kwa wanawake ndio mpango mzima…tupambane tuishinde isiue mtu. Mko wapi akina...

Infographic|Luis Diaz; alikataa Spurs, ametua Liverpool kwa Sh bilioni 85

Jembe la kazi lililotua Liver kwa bil. 85/-KUELEKEA mwishoni mwa dirisha la usajili la Januari lililofungwa hivi karibuni, Liverpool walivunja kibubu na kutoa Pauni...

Infographic| Tanzania tuko wapi chanjo ya Uviko-19

Tanzania imepokea dozi nyingine 800,000 za chanjo ya Uviko-19 aina ya Sinopharm kutoka Serikali ya China. Waziri wa Afya, Ummy Malimu, amesema kuwa: "Tumepokea chanjo...

Visual| Abiria wa safari za ndani waliosafiri na ndege za ATCL

Ni takribani miaka nane sasa tangu kufufuliwa kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) mwaka 2015 na aliyekuwa Rais wa Awmu ya Tano, Hayati...

Visual| Tunayofahamu kuhusu mwaka mpya wa masomo Tanzania

Mwaka mpya wa masomo nchini Tanzania umeanza tangu Jumatatu Januari 17, 2022 ambapo shule za Elimu Msingi na Sekondari zimefunguliwa. Upekee ulioshuhudiwa kwa mwaka huu...

Visualization| Mwarobaini wa madarasa shule za sekondari

SERIKALI imekamilisha ujenzi wa madarasa 15,000 kwa asilimia 95 katika mikoa yote ya Tanzania bara, huku asilimia chache ikisalia kutokana na changamoto mbalimbali ikiwamo...

Recent articles

spot_img