25.5 C
Dar es Salaam

Jamii

Na mwandishi wetu, Gazetini MIAKA ya hivi karibuni imeshuhudia migogoro mingi ya wanamuziki wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo zao. Mfano wa hivi karibuni ni hiki kinachoendelea sasa kati ya msanii Mac Voice na lebo ya Next...
Na mwandishi wetu, Gazetini NI rahisi kuona watu wakikuwekea chuki na wivu kwa vile tu umefanikiwa, bila kujua umepitia shida nyingi kufika hapo ulipo. Wanachukulia poa tu! Akiwa hana baba, pesa wala tumaini, hakuna aliyejua kama leo hii...

Mambo 5 usiyoyajua kuhusu Kardinali Pengo

Na Malisa GJ Mosi, jina lake halisi ni nani? Kuna watu wanadhani Mwadhama ni jina lake? Wengine wanadhani Polycarp ni cheo chake. Jina lake ni...

Kanisa Katoliki Tanzania na historia ya majina ya maaskofu wake

Na Malisa GJ KATIKA historia ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania kumekuwa na Maaskofu Wakuu watatu (Archbishops) wenye jina Rugambwa. Wawili kati yao wakiwa Makardinali na...

‘Nyuma ya ushirikiana’, Chief Godlove ni kitabu kizuri kukisoma

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA wapenzi wa mitandao ya kijamii, hasa 'walevi' wa habari za burudani, Chief Godlove si jina geni masikioni na machoni mwao. Ni...

Hii ndiyo tofauti ya maisha ya China, Marekani

Na mwandishi wetu, Gazetini MATAIFA mawili yanayopeana upinzani mkali katika nyanja ya kiuchumi, yakitajwa kuongoza duniani kwa upande wa maendeleo ya sayansi na teknolojia. Kupitia utafiti...

Vilevi vinavyotumiwa na vijana wengi Marekani

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka mingi, matumizi ya vilevi yamekuwa yakitafsiriwa kuwa ni mtindo wa kisasa wa maisha ya vijana wengi duniani kote. Licha ya...

Mbwa milioni 3 wauawa kisa Kombe la Dunia 2030

RABAT, Morocco YAKIWA ni maandalizi ya fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2030, mbwa milioni tatu wameuawa nchini Morocco na kusababisha wanaharakati wa haki...

Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ndani ya EPL

LONDON, Uingereza KAMA kawaida, mechi za Ligi Kuu ya England (EPL) zitashuhudia mapumziko ya dakika kadhaa kuruhusu wachezaji watakaokuwa kwenye ibada ya Mwezi Mtukufu wa...

Aliyekimbia polisi miaka 16 akamatwa, Olimpiki yamponza

MILAN, Italia MWANAUME raia wa Slovakia ameangukia mikononi mwa polisi mjini Milan, Italia, baada ya miaka 16 ya kujificha akikwepa kukamatwa. Mtu huyo anayetajwa kuwa na...

WhatsApp yapigwa kufuli Urusi

MOSCOW, Urusi SERIKALI ya Urusi imeagiza kufutwa kwa matumizi ya WhatsApp nchini humo, huku ikiwa na mbadala wa mtandao huo wa kijamii. Mamkala zimetoa agizo hilo...

Polisi: Aliyeua watu nane ana changamoto ya afya ya akili

TORONTO, Canada POLISI nchini Canada wamebaini kuwa mshukiwa wa mauaji ya watu nane, ambaye ni mwanamke, ana changamoto ya afya ya akili. Mwanamke huyo mwenye umri...

Simu, ‘laptop’ zinavyohatarisha maisha yako

Na mwandishi wetu, Gazetini HIVI unafahamu kuwa betri zinazotumika katika simu au kompyuta-mpakato (laptop), ambazo kwa lugha ya Kiingereza hufahamika kwa jina la 'rechargeable batteries',...

Kim Kardashian na wanaume 14 aliotoka nao kimapenzi

LOS ANGELES, Marekani STORI inayobamba kwa sasa kwenye tasnia ya burudani nchini Marekani ni hii ya mrembo Kim Kardashian kuanika penzi lake jipya na staa...

Recent articles

spot_img