Utafiti wa TDHS-MIS 2015-16 unaonyesha kuwa 42% ya wanawake wa mijini ni wazito au wanene mara mbili zaidi ya wale wa vijijini.
Uzito uliokithiri na...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha wa 2022/2023.
Dk. Nchemba amewasilisha...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Katika kuhakikisha kuwa inakabiliana na makali ya ukosefu wa ajira, Serikali imepanga kutengeneza ajira za wanawake na vijana milioni 3 kote...
Na Faraja Masinde, Gazetini
SERIKALI imeagiza kusajiliwa kwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano na kwamba huduma hiyo inatolewa bure.
Wito huo umetolewa Juni...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Maisha ya wanawake 556 wanaofariki dunia kutokana na uzazi yanaweza kuokolewa iwapo tu uwekezaji utafanyika kwa Wakunga.
Aidha, vifo vya watoto 67...
Hali ya Ushamiri kwa kila Mkoa(%)
Tanzania inaendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuhakikisha kuwa inatokomeza janga la UKIMWI kufikia mwaka 2030 kama ilivyo pia katika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rasmi Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumanne ya Machi 25, 2022 waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
Mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha kwamba uchumi wa nchi unaimarika hususan sekta ya viwanda.
Hata...
HAKUNA namna nyingine zaidi ya uwekezaji wa maana ndipo maendeleo ya mchezo wa soka yaweze kuonekana. Uwekezaji si tu huziwezesha klabu kumudu gharama za...
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaendesha upelelezi dhidi ya Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte, juu ya madai ya mauaji aliyotekeleza katika operesheni yake...