27.1 C
Dar es Salaam

Bussiness

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa maonesho ya utalii ya Karibu– Kilifair yanaendelea kukuwa kimataifa na kuwakutanisha wadau wa utalii kutoka maeneo mbalimbali duniani kwa lengo la kujadili...
Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema anatamani  kuona Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) inakuwa kimbilio la walimu ambao ni kundi kubwa katika utumishi wa umma...

TATA Tanzania yaja na suluhisho sekta ya usafirishaji mizigo, abiria

Na Winfrida Mtoi, Gazetini Kampuni ya magari ya TATA Tanzania imezindua mpango maalum kwa ajili ya sekta ya usafirishaji wa mizigo mikubwa nchini kwa kuzindua...

GGML yawapa mbinu wanafunzi Geita Boys kufikia malengo ya kitaaluma

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa mafunzo maalumu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Geita (Geita Boys)...

Wataalam Uganda watinga maonesho ya madini Geita

*Wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau mbalimbali baada ya wageni kutoka Wizara...

GGML yatoa milioni 150 kudhamini Maonesho ya 6 ya Teknolojia ya Madini Geita

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA kuendelea kudumisha dhamira ya ubunifu wa kiteknolojia, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa kiasi cha Sh milioni 150 kudhamini...

Recent articles

spot_img