Na Mwandishi Wetu, Gezetini
Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru, huku mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amefuta leseni 73 za utafiti na uchimbaji wa kati baada ya wamiliki wake kushindwa kurekebisha makosa...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
KUELEKEA pambano kubwa la kufunga mwaka maarufu ‘Boxing On Boxing Day, tayari mabondia wanaopanda ulingoni siku hiyo wakiongozwa na Hassan Mwakinyo,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufunguliwa kwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, huku akielekeza lipewe miezi sita ya uangalizi katika...
Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilemela imewaachia huru watuhumiwa 57 kati 61 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa kufuatia maandamano na matukio ya...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
SIMBA imeshindwa kutamba nyumbani baada ya kufungwa na Petro de Luanda bao 1-0 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijjni Dar es...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
WADAU wa mchezo wakuogelea Afrika Mashariki wamekutana kujadili maendeleo ya mchezo huo, huku Serikali ya Tanzania ikiahidi kuunga mkono jitihada zao...
Na Mwandishi WetuWaziri Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba, ameliagiza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi...
Na Mwandishi Wetu
Mexico imeibuka mshindi wa taji la Miss Universe 2025 kupitia mrembo wake Fatima Bosch, mwenye umri wa miaka 24.Fatima, anafahamika kwa uthubutu wake...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Concalves amesema falsafa yake katika mechi ya kesho Novemba 22,2025 dhidi ya AS FAR Rabat ni...