Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

JWTZ yatangaza nafasi kuandikishwa jeshini, yaonya matapeli

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia Sekondari hadi...

Waziri Chana ateta na Sekretarieti ya mkataba wa Lusaka

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana, amekutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti ya mkataba wa Lusaka (Lusaka Agreement) kuhusu...

Ofisi ya Makamu wa Rais kutekeleza mradi  mazingira yaliyoathiriwa na maji chumvi Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais inatarajia kutekeleza mradi wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi katika jamii za Wazanzibari zilizoathiriwa na...

Kisa Simba, mkandarasi  uwanja wa Mkapa ahesabiwa siku

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' amemuagiza mkandarasi anayesimamia ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa...

‘Mawinga’ matapeli mtandaoni kudhibitiwa, serikali yavuna mabilioni kwenye kubeti

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali imekiri kuwepo kwa ujanja ujanja katika biashara ya mtandaoni, hivyo imeanza kuchukua hatua na kupunguza changamoto hiyo kwa kuwa na...

Serikali yafikiria kuwapa posho wazee

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee kutoka kwenye umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi itaruhusu. Hayo...

Serikali ya Marekani kutoa Dola milioni moja mapambano dhidi Mpox

Na Mwandishi Wetu Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha Kudhibiti Maradhi (CDC), imetangaza kutoa msaada wa karibu dola milioni moja kwa ajili ya kuimarisha ufuatiliaji...

Kugombea uenyekiti TAREFA Sh 200,000

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzani(TFF), limetangaza uchaguzi mkuu wa Chama cha Soka  Mkoa wa Tabora ambapo gharama za...

Madaktari bingwa 50 waweka kambi Singida

Na Mwandishi wetu, Gazetini Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dk. Fatma Mganga amewapokea madaktari bingwa na bingwa bobezi 50 wa Rais Samia na kuwataka...

Waziri Mkuu awataka wanahabari kutumia Akili Mnemba kama nyenzo na si kikwazo

Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka  waandishi wa habari nchini kutumia Akili Mnemba (IA) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na...

Chart| Tanzania yapaa orodha ya mataifa 30 bora ya kiuchumi Afrika 2025

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Pato la Taifa (GDP) ni kiashirio muhimu kinachopima thamani ya jumla ya bidhaa na huduma zinazozalishwa katika taifa kwa kipindi cha...

Zuhura ahimiza wafanyakazi kushiriki michezo ili kujenga afya

Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, amewahimiza wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchini kujenga...

Recent articles

spot_img