19.5 C
New York

Mexico ya kwanza kuvuka makundi

Published:

MEXICO CITY, Mexico

MEXICO imekuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya 32 Bora ya msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia.

Mexico ikiwa Kundi A, imeingia 32 Bora baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Korea Kusini.

Katika mchezo huo uliochezwa mjini Mexico City, Mexico walipata bao hilo kupitia kwa Luis Romo.

Kwa ushindi huo, Mexico, ambao ni miongoni mwa wenyeji watatu, wamefuzu wakiwa na mechi moja mkononi.

Related articles

Recent articles