MANCHESTER, Uingereza
NAHODHA wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amekiri kutokuvutiwa na viwango vya mastaa wawili wa timu hiyo, Youri Tielemans na Kobbie Mainoo.
Neville alitoa kauli hiyo baada ya Manchester United kulazimishwa sare ya bao 1-1...
LONDON, Uingereza
MKONGWE wa Arsenal David O’Leary, amehoji sababu ya winga Bukayo Saka kuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi klabuni hapo.
O’Leary ameibuka baada ya Arsenal kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Leeds United katika mchezo...