Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Rauli Mahabi kwa tuhuma za kumjeruhi Katibu Mkuu wa Baraza la...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mashabiki wa msanii wa muziki wa hip-hop Tanzania, Claudia Lubao maarufu Chemical, wamempongeza msanii huyo kwa kufanikiwa kufaulu mtihani wake wa...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) limetangaza nafasi za kuandikishwa jeshini kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu kuanzia Sekondari hadi...
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana, amekutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti ya mkataba wa Lusaka (Lusaka Agreement) kuhusu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais inatarajia kutekeleza mradi wa kuhimili mabadiliko ya tabianchi katika jamii za Wazanzibari zilizoathiriwa na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' amemuagiza mkandarasi anayesimamia ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali imekiri kuwepo kwa ujanja ujanja katika biashara ya mtandaoni, hivyo imeanza kuchukua hatua na kupunguza changamoto hiyo kwa kuwa na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kuwanusuru wazee kutoka kwenye umasikini kwa kuanza kuwalipa posho kila mwezi endapo hali ya uchumi itaruhusu.
Hayo...
Na Mwandishi Wetu
Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha Kudhibiti Maradhi (CDC), imetangaza kutoa msaada wa karibu dola milioni moja kwa ajili ya kuimarisha ufuatiliaji...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzani(TFF), limetangaza uchaguzi mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Tabora ambapo gharama za...
Na Mwandishi wetu, Gazetini
Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dk. Fatma Mganga amewapokea madaktari bingwa na bingwa bobezi 50 wa Rais Samia na kuwataka...
Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka waandishi wa habari nchini kutumia Akili Mnemba (IA) kama nyenzo ya kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na...