Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Azam v Yanga; Ibenge dhidi ya ‘ukuta’ wa Goncalves

Na Hassan Mwasha, Gazetini NI Yanga na Azam FC ndizo zitakazofunga pazia la msimu huu wa michuano ya Kombe la Mapinduzi huko Zanzibar. Timu hizo...

Mastaa Nigeria wang’ara Afrima, Jux aibeba Bongo Fleva

Na mwandishi wetu, Gazetini WASANII wa muziki wa Nigeria wamezibeba kwa wingi tuzo za Afrima, ambazo hafla yake ilifanyika Januari 11, 2026. Wakati huo huo, usiku...

Carrick, Solskjaer nani apewe jahazi United?

MANCHESTER, Uingereza KATI ya malejendari hao wa Manchester United, nani anafaa kupewa mikoba ya kuinoa timu hiyo hadi mwishoni mwa msimu huu? Michael Carrick, kama ilivyo...

Hospitali zazidiwa wagonjwa Iran

LONDON, Uingereza IDADI ya majeruhi na miili ya waliopoteza maisha imeongezeka kwa kasi, hivyo baadhi ya hospitali kuzidiwa. Ni nchini Iran, ambako maandamano yameendelea kushika...

Huyu ndiye kocha mpya United?

MANCHESTER, Uingereza JINA la Oliver Glasner wa Crystal Palace linapewa kipaumbele wakati huu mabosi wa Manchester United wakiwa wanajadili kocha anayefaa kuchukua mikoba ya Ruben...

Kocha mpya Chelsea aanza na kipa

LONDON, Uingereza SIKU chache tu baada ya kutangazwa kuwa kocha wa Chelsea, Liam Rosenior amesisitiza juu ya usajili wa kipa mpya. Akiwa kocha wa Strasbourg ya...

Arsenal yajitosa kwa Tyjon

LONDON, Uingereza ARSENAL sasa imeingia mazima katika kuiwania saini ya kinda wa Blackburn Rovers, Igor Tyjon. Nyota huyo raia wa England ana umri wa miaka...

Man City yavunja rekodi ya miaka 66

MANCHESTER, Uingereza USHINDI wa mabao 10-1 dhidi ya Exeter City umeifanya Manchester City kuvunja rekodi ya Liverpool iliyodumu kwa miaka 66. Man City ya kocha Pep...

Nigeria v Morocco … Diaz, Osimhen nani kupasuka nusu fainali?

RABAT, Morocco WEKA kando nusu fainali ya Senegal na Misri. Nigeria dhidi ya Morocco ni vita nyingine kali ya kuisaka tiketi ya kuingia fainali msimu...

Marekani yaishambulia IS

WASHINGTON DC, Marekani VIKOSI vya Marekani vimeyashambulia yaliyotajwa na Rais Donald Trump kuwa ni makazi ya magaidi wa Kundi la IS nchini Syria. Kwa mujibu wa...

Senegal v Misri … Mane, Salah wana vita ya kisasi AFCON 2025

RABAT, Morocco UKIACHA vita ya Nigeria na Morocco, nusu fainali nyingine kali msimu huu wa fainali za AFCON ni ile itakayozikutanisha Senegal dhidi ya Misri. Ratiba...

Ethiopia yaomba uenyeji AFCON 2028

ADIS ABABA, Ethiopia SHIRIKISHO la Soka la Ethiopia (EFF) limetuma maombi ya kuziandaa fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka 2028. Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...