Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Usajili

De Bruyne akanusha kuondoka Napoli

NAPOLI, Italia KIUNGO wa Napoli, Kevin De Bruyne, amekanusha taarifa zilizodai kuwa alitaka kuondoka klabuni hapo wakati wa usajili wa kiangazi uliofungwa wiki chache zilizopita. Wakati...

Mbappe amzuia Olise kutua Madrid

MADRID, Hispania STRAIKA wa Real Madrid, Kylian Mbappe, amesema winga Michael Olise kuondoka Bayern Munich kutakuwa ni kuivunjia heshima klabu hiyo. Mbappe ameibuka na ushauri huo...

Alaba atimkia Serie A

MILAN, Italia BEKI wa zamani wa Bayern Munich na Real Madrid, David Alaba, amekubali kusaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Udinese ya Ligi Kuu...

Barcelona yaendelea kumkomalia Haaland

CATALUNYA, Hispania KLABU ya Barcelona haijachana na mpango wake wa kumsajili mpachikaji mabao hatari wa Manchester City na timu ya Taifa ya Norway, Erling Haaland. Barcelona,...

Madueke awaniwa Juventus, Atletico

LONDON, Uingereza WINGA wa Arsenal, Noni Madueke, anawindwa na klabu za Juventus na Atletico Madrid kuelekea dirisha dogo la usajili hapo Januari, 2027. Madueke aliyesajiliwa na...

Liverpool, City zamtolea macho Aramburu

LONDON, Uingereza BEKI wa Real Sociedad ya La Liga, Jon Aramburu, ameingia kwenye rada za klabu kubwa mbili za Ligi Kuu ya England , Liverpool...

Wirtz kulamba mkataba mpya Anfield

MERSEYSIDE, Uingereza KLABU ya Liverpool iko mbioni kumpa mkataba mpya kiungo wake raia wa Ujerumani, Florian Wirtz, licha ya kusuasua kwa kiwango chake. Nyota huyo hajafunga...

Arsenal macho kwa staa Madrid

MADRID, Hispania WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wanamtolea macho mshambuliaji wa Real Madrid, Endrick, wakipanga kumfuata wakati wa usajili wa dirisha dogo la Januari, 2026. Endrick...

Kinda United agombewa Ulaya

MANCHESTER, Uingereza MSHAMBULIAJI chipukizi wa Manchester United, JJ Gabriel, ameingia kwenye rada za klabu kubwa nne barani Ulaya, ikiwamo Barcelona. Kwa mujibu wa kituo cha televisheni...

Gyokeres kutimkia Serie A?

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Viktor Gyokeres, anahusishwa na klabu nne za Ulaya, zikiwamo za Ligi Kuu ya Italia . Katika msimu wake wa kwanza Emirates,...

City yahamishia silaha kwa ‘mido’ Atletico

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City imeripotiwa kuanza mapema mikakati ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa Atletico Madrid, Alex Baena. Kwa mujibu wa ripoti, usajili wa...

Bissouma bado kidogo tu atue Chelsea

LONDON, Uingereza CHELSEA ilikuwa na nafasi ya kumsajili Yves Bissouma baada ya kiungo wake, Enzo Fernandez, kutimkia kwa washindano wao wa Ligi Kuu ya England,...

Recent articles